secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu Mimi siyo mwana sisiem aisešSiwezi kupanic na wastu wanye laana za damu za watu . Kila damu mliyoimwaga kisa fedha ndani ya CCM inanene kwenye familia yako.

NdumuzMBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
He seems an hisbollahCHADEMA haiwezi kufa hata kidogo labda iingie madarakani na kisha ivurunde and never otherwise.
Umeandika ninišRELAX ,ENDEL;EA KULA PESA DAMU
ACT wazalendo šJoh akwende wapi tena?
siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumuBoni ni rafiki yake Mbowe ndo maana ndo maana nasema ana uwezekano wa kuhama.
Akibaki ni vizuri pia.
Hii ya Mnyika ninayo siku nyingi sana. Yaani hadi abaki Lissu peke yake.Bado hamjasema, Mnyika on the way
Kama uwezi kuwa wazi unatumia ID za picha za kuokota google alafu unakuwa unasema hata CCM pole pole alishakujua kuwa wewe mna ofisi za majambazi pale ostabey polisiBado hamjasema, Mnyika on the way
Huyo ndio sterling. Anasubiri kufunga ukurasa. Bado Bilionea Sugu, Bilionea William Mungai kutaja wachache kabla ya Bilionea Mbowe kumalizia!Mm nasubiri press conference ya Mbowe aka mwenye mbwa.
Yote yapi??MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
Mafwele asijekumteka tu usiku huuKUMBE UNAMJUA KUWA NI NGURI WA DAR ES SALAAM.
KWA TAARIFA YAKO ANAENDA KUWAANIKA G55 NA NYIE CCM
STAY TUNED
BONI YAI HANA NJAA
Mbona wapo wengi tu walikuwa Team Mbowe lakini baada ya uchaguzi wameweka loyalty yao kwa Chadema.Ila kumbuka jamaa alikuwa mfuasi mkubwa wa Mbowe.
Tusubiri tuone.
Hata mtunza kibubu cha mapesa ya Abdul pia tunamsubiri.Huyo ndio sterling. Anasubiri kufunga ukurasa. Bado Bilionea Sugu, Bilionea William Mungai kutaja wachache kabla ya Bilionea Mbowe kumalizia!
Boni Yai ni miongoni mwa watu ambao briking nyuzi zake huwaga zina mshindo flan .ngoja tuone na tusikie yatakayojiri.Ile kesi ni lini jamani tukumbushane na masharti ya uhudhuriaji na ile mitegoMBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA