Askofu Kassala:wanaoondoka waondoke kwa Amani na waendako waende kwa Amani. Ni uhuru waoamani yatoweka chadema, hofu yatanda kila kanda ya kiutawala chadema, agenda zabadilika kila saa![]()
tatizo ni wanaobaki kukosa utulivu kabisa gentleman, na kuishia kuropoka tu tena kwa hasira, uchungu na ghadhabu za kiwango cha juu sana dhidi ya hao wangwana wanapotumia uhuru na haki zao za kikatiaba kujiengua chadema na kuamua mustakabali wa siasa zao za baadaeAskofu Kassala:wanaoondoka waondoke kwa Amani na waendako waende kwa Amani. Ni uhuru wao

Kwenye hiyo press akiwakana Wajinga 55 na kusema yeye hatoki CHADEMA huoni kuwa utaumia sana?MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
Sasa hivi pale chadema hakuna faranga ndiyo maana wachumia tumbo wanatokea nduki kuangalia namna ya ku kujikomboa kimaisha.Urafiki unaenda na maslahi ndio maana waliokuwa wanufaika kwa Magu kwa sasa ni wanufaika kwa mama S.S.H
Hakuna cha tusubiri tuone.Ila kumbuka jamaa alikuwa mfuasi mkubwa wa Mbowe.
Tusubiri tuone.
Eeh maisha yashakuwa magumu CHADEMA lazma machawa wa Mbowe wajichenge.Sasa hivi pale chadema hakuna faranga ndiyo maana wachumia tumbo wanatokea nduki kuangalia namna ya ku kujikomboa kimaisha.
Hahaha 😂🤣Hakuna cha tusubiri tuone.
Tangazo linasema presser iko CHADEMA Headquarters. Thats a dead give away, ishara ya wazi, kwamba hajitoi.
Huwezi kujitoa chama umesimama mbele ya ukuta una ma chata ya ku advertise chama. Utakuwa chizi.
Huwezi kujitoa chamani huku unategemea chama kikufadhili microphone na chumba cha ukumbi wa kutangaza unajitoa. Yani hujiwezi bila chama.
Ahahaha 😁Eeh maisha yashakuwa magumu CHADEMA lazma machawa wa Mbowe wajichenge.
Chama cha siasa, mtaji wake ni WATU! Chama cha NCCR cha Marando, kilikosa nguvu, kwa jeuri hii hii, ya kulingia USOMI!Chadema ni chama cha wasomi ambao wapo mbele ya muda usitegemee chadema kufa
Wakusanya taarifa wako tangu CHADEMA iundwe na wameshindwa kuimaliza. Hakuna jambo jipya au siri ambayo CHADEMA inajadili kwenye vikao zaidi ya shida za wananchi na ufisadi wa CCM na serikali yake. Ujinga wa CCM ni kudhani wanaweza ku-ignore uwajibikaji kwa wananchi na ku-deal na CHADEMA na wakabaki salama.Kimkakati G55 wengine lazima wabaki ili wakusanye taarifa kwenye vikao
Ahaaaa 😁😁😁 CDM DaimaChama cha siasa, mtaji wake ni WATU! Chama cha NCCR cha Marando, kilikosa nguvu, kwa jeuri hii hii, ya kulingia USOMI!
Endeleeni kuringia USOMI!
Msomi bila hekima ni kazi bure.Chadema ni chama cha wasomi ambao wapo mbele ya muda usitegemee chadema kufa
AiseeMsomi bila hekima ni kazi bure.
Mngekuwa na Hekima msingeua WatanganyikaMsomi bila hekima ni kazi bure.