siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu
Yeah, hiyo ni nzuri.Mbona wapo wengi tu walikuwa Team Mbowe lakini baada ya uchaguzi wameweka loyalty yao kwa Chadema.
Sugu ndo sijaelewa BadoNI HIVI BONI YAI HAWEZI KUHAMA CHADEMA
No reform,no election!MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
Unamaanisha kwamba kesho Boni Yai na John Mnyika nao wanajiondoa kwenye chama cha chadema na kuwaachia Tundu Lissu na Heche chama hicho? Ngoma inogile. Bundi wa Mbowe a alizia kuwatafu na.Bado hamjasema, Mnyika on the way
Ukiondowa vilaza walio teuliwa kilaza mwezao AkA mwenyekiti wa ccm , chadema haina mpizani. Kizuri zaidi mkuu wa vilaza wa kijani anategemea vilaza wezake wapambane na watu wenye IQ za juu sana kama kina Tundu au Mnyika kweli?MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
Mnyika he might disengage his wings in near future.Mnyika hawezi ondoka,hata Boni Yai haondoki.
Wasomi wa nini?Chadema ni chama cha wasomi ambao wapo mbele ya muda usitegemee chadema kufa
Hata chungumanHakuna mkubwa kuliko CHADEMA
#No reforms no election
Huyo wa kuiingiza chadema ya hivi madarakani ni kichaa wa wapi?CHADEMA haiwezi kufa hata kidogo labda iingie madarakani na kisha ivurunde and never otherwise.
"...on the way" to where. Are you nuts!Bado hamjasema, Mnyika on the way
Ahame ilo iwejeNI HIVI BONI YAI HAWEZI KUHAMA CHADEMA
Urafiki unaenda na maslahi ndio maana waliokuwa wanufaika kwa Magu kwa sasa ni wanufaika kwa mama S.S.HBoni ni rafiki yake Mbowe ndo maana ndo maana nasema ana uwezekano wa kuhama.
Akibaki ni vizuri pia.
Who's Mnyika?.Bado hamjasema, Mnyika on the way
We ni afadhali ya mwehuAcheni stori hapa, kama CCM wanajiamini wawachukue wote halafu waweke uchaguzi huru kama watatoboa.