Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante babe, baada ya huu uzi ndipo nilikua nachimba habarizao in to detailKaachana na Mr Kalua kama 2yrs ago
Ndio unataka ukaongeze jiko , sema haina makombo 😅😅Hawaku tangaza bungeni, bali aliekua mume wake aliandika barua kwa bunge kuhusu ukomo wa Bonnah kutumia jina la Kalua
Mkuu au ni wewe ndio umekamata jimbo.. mbona unaweka kauzibe mapemaa sanaKashachelewa
Wakati mnaendelea kujadili, mie kuna fursa nineiona hapa...🤣Ndio unataka ukaongeze jiko , sema haina makombo 😅😅
Tayari I'm doneUnaweza kuchimba pia Huyo Kaluwa naye ni nani, anatoka wapi n.k
Basi tumuachie Ushimen yeye sio mwananchi wa kawaidaHapana mimi mwananchi wa kawaida nisiyemiliki hata pikipiki ntawawezea wapi hao wasomi wenye hela, wataniona takataka tu