Mbuge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi katika wakati mmoja kusema kupitia mahojiano ya chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli
Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa na mjumbe wa kamati ya
MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA.
ningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake pia kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake , kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake a alikuwa nani serikali?
Je kwa sasa kuwa na mwenza wa Waziri kunamuweka karibu na fursa ya teuzi? ( vetting) na hivyo kuanzisha safari ya ndoto yake kuwa kuongozi na hata Rais wa Nchi huko baadae?
View attachment 2574101