Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mbuge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi katika wakati mmoja kusema kupitia mahojiano ya chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli

Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa na mjumbe wa kamati ya MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA.

ningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake pia kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake , kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake a alikuwa nani serikali?

Je kwa sasa kuwa na mwenza wa Waziri kunamuweka karibu na fursa ya teuzi? ( vetting) na hivyo kuanzisha safari ya ndoto yake kuwa kuongozi na hata Rais wa Nchi huko baadae?

View attachment 2574101
ana umbo zuri sana tunaomba picha yake kutoka maktaba
 
Ana degeree tu tena kasoma chuo cha waungaji ungaji pale Posta cha Learn IT kipo karibia na jengo Rumumba enzi hizo sijui kwa sasa kama kipo hapo au kimehama.. na hana uoefu kabisa na IT unalipamba sana hili jimbo
Labda alisomea mwaka 1995 mpaka 2007 hapo akaenda kupata tu cheti rasmi ila Degree si haba ya Computer science japo mimi sio mjuzi wa mambo hayo au siku hizi yamebadilika degree si kitu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom