Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mbona inasoma Bachelor Degree kwenye tovuti ya Bunge
Hana Bachelor degree huyo, halafu hata hajui jinsi Bachelor degree ya LearnIT inavyopatikana.
Ili kupata Bachelor Degree yao lazima angetakiwa kusoma Diploma yao.
Mwaka wa kwanza - Diploma
Mwaka wa pili - Advanced Diploma
Mwaka wa tatu - Bachelor Degree (LondonMet).

Labda kama alifanya mipango miji ili kuipata hiyo Degree.
 
Hana Bachelor degree huyo, halafu hata hajui jinsi Bachelor degree ya LearnIT inavyopatikana.
Ili kupata Bachelor Degree yao lazima angetakiwa kusoma Diploma yao.
Mwaka wa kwanza - Certificate
Mwaka wa pili - Diploma
Mwaka wa tatu - Bachelor Degree (London _ Met).

Labda kama alifanya mipango miji ili kuipata hiyo Degree.
Sawa sawa
 
Kabisa mkuu Niko hapa segerea, hakuna anachokifanya.
Wana Jimbo wanatamani sana ang'oke, ngoja tusubiri 2025.
kuna wanaodai ameyashika makundi mbalimbali anatoa sana vimsaada vidogo vidogo, yani anajua kula na kipofu. Je ni kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom