Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
kuna wanaodai ameyashika makundi mbalimbali anatoa sana vimsaada vidogo vidogo, yani anajua kula na kipofu. Je ni kweli?
Hakuna lolote, huwa anafanya hivyo ikikaribiana na uchaguzi.
Sijaona hicho kitu.
 
Alikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.

NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.
siyo siasa tu ndugu, hata akibobea kwenye mambo ya Imani nako ni mashaka matupu.
 
Bongo shida sana, mtaalam wa masuala ya IT na uhusiano wa kimataifa, then anakuwa mjumbe wa kamati ya Bunge mambo ya uhusiano wa kimataifa.

Hizo field alizosomea alifanyia kazi wapi? kupifikia expert level? au ndio shule connection ubunge maisha yanasonga then tunaamini ni mtalaam anapewa wizara kumbe experience yake ni politician.

Moja ya failure yetu pia inaanzia hapa kwa watu kugraduate kupata vyeti then wanakuwa wanasiasa unasikia anaitwa Eng au Dr kwenye field fulani kumbe hakuna alipowahi kupractise.
Halafu hiyo mtaalam wa IT unawezakuta ni certificate course!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom