Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
kuna wanaodai ameyashika makundi mbalimbali anatoa sana vimsaada vidogo vidogo, yani anajua kula na kipofu. Je ni kweli?
Hakuna lolote, huwa anafanya hivyo ikikaribiana na uchaguzi.
Sijaona hicho kitu.
 
Alikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.

NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.
siyo siasa tu ndugu, hata akibobea kwenye mambo ya Imani nako ni mashaka matupu.
 
Halafu hiyo mtaalam wa IT unawezakuta ni certificate course!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…