Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
IT ni pana sana, tuambie ni mbobezi pande ipi?
Mimi sifahamu Mzee nimeona tu kwenye tovuti ya Bunge ana Bachelor Degree ya computer science au Mkuu ni vitu tofauti? Wengine sio fani zetu hatujui
 
Kwa nini hawakuachana kimya kimya mpaka kutangaza bungeni
Kulikuwa na mwendelezo wa visa, visasi na uchafu mwingi sana kuhusiana na ndoa yao (Kwa kifupi sana inasemekana Bonna baada ya kupata ubunge wa kimchongo akawa anatomb** ovyo ovyo na wakubwa kadhaa ndani ya CCM na Serikali wakiwemo wabunge wenzake, na kuna wana wanadai huenda mpaka umeme wa gridi ya taifa uliunganishwa pale), hivyo jamaa (Kaluwa) akaona ni bora akaachana na Bonna hadharani kabisa (maana mwanamke kwa dharau alitaka waachane tu ili awe huru, na jamaa akasema atafanya hivyo publically ili kuondoa dhihaka na kulinda heshima ya kiuanaume).

Upande wa pili, Kaluwa aliwekeza pesa nyingi ili kuhakikisha mkewe anapata Ubunge wa Segerea kwa malengo fulani fulani hivi (kwa hapa siwezi kuyasema), lakini baada ya mwanamke kupata Ubunge ghafla akamgeuka muwewe!

Story yao kwa kiasi fulani inafanana na story ya Amina Chifupa na Mpakanjia.
 
ningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake , kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake alikuwa nani ?
Ila watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Sasa wewe ndo umeleta hii story humu afu tena unatuuliza sisi. Hatujui, kamuulizie bungeni huko labda watakupa taarifa zake
 
Ila watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Sasa wewe ndo umeleta hii story humu afu tena unatuuliza sisi. Hatujui, kamuulizie bungeni huko labda watakupa taarifa zake
Huwezi jua kila kitu na kwenye wengi pana mengi. Ndio Dunia hii Mama
 
Mimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…