Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefunga mkuuMkuu hujafunga nini
nimemuelewa sana,kura yangu ya ndiyo kapataUmemuelewa Mbunge, apewe kura za ndio
Kulikuwa na mwendelezo wa visa, visasi na uchafu mwingi sana kuhusiana na ndoa yao (Kwa kifupi sana inasemekana Bonna baada ya kupata ubunge wa kimchongo akawa anatomb** ovyo ovyo na wakubwa kadhaa ndani ya CCM na Serikali wakiwemo wabunge wenzake, na kuna wana wanadai huenda mpaka umeme wa gridi ya taifa uliunganishwa pale), hivyo jamaa (Kaluwa) akaona ni bora akaachana na Bonna hadharani kabisa (maana mwanamke kwa dharau alitaka waachane tu ili awe huru, na jamaa akasema atafanya hivyo publically ili kuondoa dhihaka na kulinda heshima ya kiuanaume).Kwa nini hawakuachana kimya kimya mpaka kutangaza bungeni
Mgeuzen basi huyo MP tumuone backyard kama anatufaa kwa urahisi😁
Ila watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Sasa wewe ndo umeleta hii story humu afu tena unatuuliza sisi. Hatujui, kamuulizie bungeni huko labda watakupa taarifa zakeningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake , kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake alikuwa nani ?
Bachelor degree in what?Mkuu tovuti ya Bunge inasema ana Bachelor Degree
Huwezi jua kila kitu na kwenye wengi pana mengi. Ndio Dunia hii MamaIla watanzania tuna mambo ya ajabu sana. Sasa wewe ndo umeleta hii story humu afu tena unatuuliza sisi. Hatujui, kamuulizie bungeni huko labda watakupa taarifa zake
Mimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli
Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa na mjumbe wa kamati ya MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA.
ningependa kusikia historia ya safari yake iwe hamasa pia kwa wabunge wanawake kusomea fani ambazo zinaonekana kuwa ngumu au sizopendwa na wanawake , kutoka Geita mpaka Dar es Salaam mpaka kufikia kuwa Ubunge. Mwenza wake alikuwa nani ?
Je kwa sasa kuwa na mwenza wa Waziri kunamuweka karibu na fursa ya teuzi? ( vetting) na hivyo kuanzisha safari ya ndoto yake kuwa kuongozi na hata Rais wa Nchi huko baadae?
View attachment 2574101
Kwani Bashe hana ndoa?Mbiki msumi!! Yes..ila sina hakika kama walizaa