Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Tatizo la bongo, mtu akisoma course fulani wanamuita mtaalamu wa kitu fulani, hata kama haja practice.

Kusoma chuo hakukufanyi kuwa mtaalamu. Utalaamu (expert) unajengwa baada ya kufanya (to practice) kitu fulani kwa muda mrefu. Unaweza hata uwe hujasomea chuo hicho kitu lakini ume ki master kutokana na practical experience.
 
Mkuu unajuaje kama hajapractice?
 
Mimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.
Labda lengo lake ni ngazi ya uwaziri ila kwenye mipango unatakiwa ku aim Hi ili hata usipofikia unakuwa pazuri
 
Mimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.
Labda ndoto yake haipo kama ilivyo ila ili kufikia ndoto yake inabidi atangaze ndoto ambayo sio yake
 
Tanzania hakuna wataalamu wa IT 🐒

Tanzania hakuna wataalamu wa IT [emoji205]

Gibson kawango unamjua?
 
Daaah!!

IMG_20230323_192240.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom