Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Alomuoa Mbiki Msumi...Kwani Bashe hana ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alomuoa Mbiki Msumi...Kwani Bashe hana ndoa?
Ohh basi sina kumbukumbu nzuri2years ago!!! Kaachana na mumewe toka bunge lililopita sasa inakuwaje miaka miwili?
Karibu tule dakuOhh basi sina kumbukumbu nzuri
Shukrani mkuuKaribu tule daku
Waliachana?Alomuoa Mbiki Msumi...
niwe mkweli tu! Kama taifa tulikosea sana kumpa namala nchi! Sasa mwingine humu anapigia chapuo msimbe upewe nchi! Kweli? Hawa wanaopiga magoti hata barabaran wakiongea na wanaume! Nadhan mtoa post uache bangi sasa! Huziwezi!Ngoja waje wanaojua Mkuu
Ni yule dingi muongo sana, hata akiwa msikitini anaweza kudanganya huku akiwa mkavu.Diblo ni nani?
Mke anabaki kuwa yuleyule Msomali, hawa wengine wanabaki kupokezanishwa, wanakua wanatumika na kuachwa.Mbiki msumi!! Yes..ila sina hakika kama walizaa
Mkuu unajuaje kama hajapractice?Tatizo la bongo, mtu akisoma course fulani wanamuita mtaalamu wa kitu fulani, hata kama haja practice.
Kusoma chuo hakukufanyi kuwa mtaalamu. Utalaamu (expert) unajengwa baada ya kufanya (to practice) kitu fulani kwa muda mrefu. Unaweza hata uwe hujasomea chuo hicho kitu lakini ume ki master kutokana na practical experience.
Labda lengo lake ni ngazi ya uwaziri ila kwenye mipango unatakiwa ku aim Hi ili hata usipofikia unakuwa pazuriMimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.
Labda ndoto yake haipo kama ilivyo ila ili kufikia ndoto yake inabidi atangaze ndoto ambayo sio yakeMimi simjui lakini si kila ndoto unatangaza maana watu wanaweza shangaa kwa nini mtu unaota ndoto kama hiyo. Asifikiri mvuto wa umbo lake ndio kipimo cha kuweza kua rais.
Gibson kawango unamjua?Tanzania hakuna wataalamu wa IT [emoji205]
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com