BONTA katoa MATUSI

Huyo ni ma**v* kweli yaani..Hivi hakuona cha kujithaminisha nacho mpaka bikira Maria?
 
Mmmmmh_napita hapa,maake jamaaa kachokoza nyuki.
 
Simjui na wala sjawahi kumsikia.
 
akili zingine hivi jina lake halisi ni nani isije ikawa fani yake ni taarabu ye amevamia happy hope !
 
wasanii wa kibongo wemeishiwa tungo.wamebaki kuimba matusi na kutajataja majina tuuuu...... nyimbo nzima. mistari haina vina yenye vina haina maana
 
Ni miaka ya Mpinga Kristu, anatumiwa bila yeye kufahamu laana itamla bila yeye kujua.
 
jaman mi nlikuwa cmfaham wala cjawah kuckia nyimbo zake but leo nimelazimika kuudownload huo wimbo thru tubidy.com kaimba vitu vya maana ukiacha huo mstar wa kukashifu dini. Mi nadhan anatakiwa kuomba radhi kwa wakatoliki otherwise well done!.
 
Duh kweli kakosea,tatizo la wanahip pop wanaokotaokota maneno tu ukiuliza wagumu,wakiambiwa haiuzi wanakuja juu,sasa nani na akil yake akanunue hiyo album,mbona kina mwanafa,ay,prof,afande sele etc wanaimba na wanaeleweka bila kuweka maneno ya ovyo kuna mwingine anasema wanavuja kama vistura duh ndio hippop
 
wasanii wa kibongo wemeishiwa tungo.wamebaki kuimba matusi na kutajataja majina tuuuu...... nyimbo nzima. mistari haina vina yenye vina haina maana

umeusikiliza huo wimbo au unafuata mkumbo????title yake ni MATUSI ila alichoongelea si matusi!!usifate mkumbo kama VINEGA kwa SUGU
 
hivi watanzania tumefikia mahali paa kuzikubali nyimbo za kutukana mama na dada zetu waziwazi?BASATA ipoo?
 
jaman mi nlikuwa cmfaham wala cjawah kuckia nyimbo zake but leo nimelazimika kuudownload huo wimbo thru tubidy.com kaimba vitu vya maana ukiacha huo mstar wa kukashifu dini. Mi nadhan anatakiwa kuomba radhi kwa wakatoliki otherwise well done!.

Mambo ya Imani tu hayo jama, Imani yako wewe inaweza kuwa kufuru kwa wengine; Mbona kila siku tunamchinja mungu/ngombe wa wahindi
 
niaje guys, mi naona jamaa kafanya makosa ya kawaida tu, personal errors, so it can not harm the whole message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…