Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dogo kapinda, nimesikia clouds wakimjadili asubuhi kwenye pb kuna utenzi Bonta kajisifu anasema " tungo zake zimebarikiwa na Allah ...zina hadhi zaidi ya bikira ya Maria" . Sasa Bonta akahojiwa kwa nini anawakashifu wakatoliki kwa kulitaja jina la Maria kwa namna ya upuuzi ..akatoa ufafanuzi eti alikuwa anamaanisha Maria Stopes ... Yaani ni mpuuzi aliyevuka kikomo. Mimi sijakubali utetezi wake.. He is just a STUPID IDIOT.
Simjui na wala sjawahi kumsikia.
wasanii wa kibongo wemeishiwa tungo.wamebaki kuimba matusi na kutajataja majina tuuuu...... nyimbo nzima. mistari haina vina yenye vina haina maana
jaman mi nlikuwa cmfaham wala cjawah kuckia nyimbo zake but leo nimelazimika kuudownload huo wimbo thru tubidy.com kaimba vitu vya maana ukiacha huo mstar wa kukashifu dini. Mi nadhan anatakiwa kuomba radhi kwa wakatoliki otherwise well done!.
ni ushenzi hiyo punch,hlfu eti ni daktari mzima. wamvue hata profession yake