system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business.
Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa:
• Book Keeping
• Commerce
• economics
• Computer Studies
Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana uwezo wa ki uchumi kuendelea na masomo yao.
Je, miaka yao 4 ya Secondary bila cheti watakuwa wameambulia kitu gani kichwani?
Je, majimaji war? Zinjanthropus? Mwanga kusafiri kwa kasi zaidi kuliko sauti? Au kitu gani haswaa kitakachowafaa ki maisha japo cheti hawana.
Nadhani kujengewa business mentality kupitia masomo ya biashara na computer yangesaidia sana kwenye ulimwengu huu wa biashara na teknolojia kwenye hii Tanzania isiyo na ajira kwa sasa.
Mlioko serikalini tazameni hili kwa upana mkubwa zaidi.
-----
Napingana kabisa na wazo la eti watu wafundishwe mambo ya ki ufundi. Ninaamini hao wanawaza ki ufundi zaidi ni kwa sababu hawafikiria ki biashara zaidi wao wanafikiria kwa ujumla zaidi na wanakosea sana