(Biashara bila uzalishaji wa kutosha......).
- hapa ndipo napozidi ku prove mawazo yangu kuwa yapo right. Wewe unatazama biashara katika mrengo wa kuuza na kununua huku ukiona production km sio sehemu ya biashara. For your information production ndio core centre ya biashara. Hakuna biashara bila kuwa na production (products / services).
twende polepole jamaa amekwambia tunahitaji mafundi ukasema kuna mafundi wangapi na je kuna gap ya mafundi ? Hapo ndio mjadala ulipoanzia......
Sasa swali linakuja kipaumbele ni nini ? Making profits au sustaining the needs..., sababu unaweza uka-create scarcity ili upate profit na inawezekana kabisa an essential thing in human life kisiwe na monetary value per se lakini kikawa valuable (mfano air tunayovuta) Unaweza ukazalisha kitu durable na cha maana kwa maisha ila usiuze sababu ya lack of marketing skills (lakini ukatengeneza upupu ukauza sababu ya kuwa-brainwash watu au kwa msanii kukitangaza hence ukauza) Now kwa mtizamo wa ustawi wa jamii kipi ni cha faida....
Mfano mdogo kutengeneza vitu vyenye short lifespan kuvi-mass produce na kuviuza ili viharibike watu warudi tena tena might make economical sense lakini sio environmental wala sustainability....
(Buying power......)
- hapa bila shaka unazungumzia purchasing power. Kwa maneno mafupi uwezo wa watu kufanya manunuzi, yaani watu wawe na hela mfukoni. Sasa, ili uwe na hela unapaswa kufanya biashara. Ili ufanye biashara kwa ufanisi yakupasa uwe na knowledge ya biashara yaani uwe na business mindset. Kumbuka hakuna mtu alizaliwa ni mfanyabiashara bali amejifunza, hakuna mtu alizaliwa daktari bali amejifunza, hakuna mtu amezaliwa injinia bali amejifunza. Na ni kosa kubwa sana kujifunza taaluma yeyote bila ku attach na business mindset. Hata km umeajiriwa km Dr. ama mwalimu bado survival ya ile kazi unayofanya inategemea 'customers' yaani biashara.
Sasa hapa naona tuna-stretch the definitions.... first and far-most business is about profits and more or less financial profits..., In the end kila mtu anafanya kitu kwa purpose fulani..., Je mwalimu his goals ni kufundisha watu kutoka point fulani hadi fulani au ni ku-make as much money as they can ? Daktari Je..., ni kuhakikisha anatafuta dawa hata kama vyote anavyofanya mwisho wa siku visimpe hata senti au ni kuchukua kazi part-time kuanzisha NGO's au kufundisha lecture hapa na pale ili kunenepesha akaunti yake ?
Kimoja ni more rewarding financially kingine ni more rewarding na priceless sababu ndio kiu cha cadre anayofanya..., yaani kuona watoto wote mwalimu aliowafundisha wamepass hata kama walikuwa hawana hata senti ya kumlipa....
(Entrepreneurship sio lazima ni knowledge......)
- upo very wrong. Very wrong. Very very wrong. Otherwise ww una tafsiri yako mwenyewe ya knowledge tofauti na hii ambayo inafahamika ki dunia. Knowledge ndio engine ya ku drive mafanikio ya chochote kile. Lack of knowledge ndio engine ya ku drive anguko la chochote kile.
(All skills are all in need.....)
Hivi kuna mtu ambaye hajui kwamba anahitaji kutafuta kitu kuuza katika margins na kupata faida na ku-reinvest alichopata na kuendelea tena na tena na tena ?
Sasa wangapi wanafanya hivyo ? utaona issue / tatizo sio kwamba hawajui bali attitude an indiscipline (sio rahisi kujinyima na kufight na not giving up) ndio maana unashauriwa kufanya unachokipenda sababu when the going gets tough financially at least emotionally utakuwa okay
Kwahio utaona kinachowatenganisha an average from the brilliant sio knowledge ya pesa bali ni attitude / discipline na interpersonal skills (some people can sell ice to eskimos) yaani ukimpa chance tu basi amesha-close the sale.... (and those are in minority)
- nimekuelewa, lakini wewe nadhani kuna namna unavyoelewa neno 'business'. Wewe unaelewa katika mtazamo mdogo wa buying and selling. Lkn, it goes beyond to achieving a huge thing sio ishu ya kuuza na kununua tu hapana. It involves creativity, critical thinking, communication, cooperation na mengine mengi beyond. This is business.
Sasa jamaa alivyokwambia wafundishe na ufundi pia ukabisha ni nini ? au hizo communication skills na critical thinking zinatokea wapi kama sio mchanganyiko wa general knowledge ?
Pia unadhani ukiwa a businessman kila kitu utafanya (yaani inabidi uwe lawyer ujue company law, uwe muhasibu, uwe mtu wa marketing kama una hoteli pia uwe mpishi ? Au inabidi uwe na skill yako na nyingine uzi-complement na more than 90% ya watu ambao wapo wanaweza kufanya hivyo ila hawana uthubutu wako / attitude, discipline, man management na kutokukata tamaa ?
Unajua maana ya Team Work ? Au haujui kwamba ili ufanikiwe inabidi kuwa na watu wenye different skill set ?
(Business start ups ngapi zinafeli....)
- unajua sababu kuu ni kitu gani? Lack of business skills kwa wanaoanzisha. Jiulize mbona zingine zinaanzishwa na zinafanikiwa. Hapa ndipo unapozidi ku prove ninachosema kuna haja ya kila taaluma kuwa accompanied na business skills. Mtu amesoma computer science anaanzisha start up na hana business knowledge na haoni umuhimu wa ku team up na mtu mwenye business knowledge kwa nini start up isife?
Generally speaking ipo hivi: Kila taaluma ultimately 'battle field' yake ni 'business arena' hii ni iwe unataka ama hutaki.
Ndio maana nikasema sio kila Tom, Dick and Harry ni wa kuanzisha start-up katika kila start-up 1000 huenda 900 zikafeli tena katika hizo 900 huenda wale 100 waliofaulu wana nyingine 200 ambazo zilifeli..., its not a given to make it (inahitaji watu ambao ni never give up) and in this age of competition failure haimaanishi hujui bali you might be in the wrong place at the wrong time au watu wasikuelewe..., unadhani bila back-up ya Vodacom jamaa aliyeleta Idea ya Mpesa angefanikiwa ?
Unaongelea in computer science
sawa ngoja tuongelee hii industry...., kuna watu wanafanya mambo for the love of the industry ndio maana hata software kuna shareware ambazo nyingi zipo stronger kuliko software wanazouza watu ila watu wengi hawazitumii for lack of marketing Microsoft alivyokuja na Internet Explorer alitaka aiuze lakini ilikuwepo Netscape ambayo jamaa walitoa bure..., whatsapp founder walianzisha kwa misingi kwamba iwe bure bila kuchaji watu Facebook kainunua anataka kui-monitize / kuweka matangazo hadi founder mmoja kaamua kujitoa
Hapo naamisha nini ? Drive ya watu wote sio financially na pia vyote vinavyotengeneza pesa sio necessarily ni vizuri bali ni marketing na watu kucheza na akili za watu ambao wengi wetu ni shallow....
Yaani, ukianza tu kufikiria kuhusu fedha fahamu kuwa upo kwenye mamlaka na utawala wa business. Mfuko wa fedha ni business kama ilivyo benki (business) inatunza fedha.
Je, kuna taaluma yeyote ambayo 'end product' yake sio fedha? Hakuna. Sasa, kama wote safari ya mwisho ni fedha ni kwanini kila taaluma isiwekewe misingi ya ki business (monetization)? Kwa swali hili dogo hakuna yeyote awezaye kusimama na kubishana kuhusu umuhimu wa ku attach business kwenye kitaaluma.
Rudia kusoma hapo juu nakuongezea na product nyingine katika softwares kuna 3D program ambayo inaitwa Blender kuna Operating System kama Linux n.k..., Ni bure na watengenezaji wamefanya hivyo sababu wanachofanya ni more rewarding kuliko monetary reward...
Hujaona madaktari au wanasheria wa kujitolea ? Kwahio kwa mfano wako mzazi wako akiwa mfalme au una pesa za kumwaga basi hautafanya chochote sababu tayari una fedha ?!!!!
Ndio maana dunia tumepotoka badala ya mwanasheria first and far most kusaidia watu katika sheria, daktari kutibu, mwalimu kufundisha na mtunga muziki kutoa kitu kizuri ....., BALI wote wanafanya kile ambacho kitaingiza mpunga zaidi ndio maana tumekuwa katika dunia ya mediocrity na quality za ajabu ajabu...
Na kwa taarifa yako kila mtu yupo busy kutafuta fedha lakini hajui namna mifumo ya fedha inavyofanya kazi na hajishughulishi kujua.
Mtu hana fedha anadhani amelogwa kumbe ni kwa vile hajui namna mfumo wa fedha ulivyo....
Unadhani mtu akishapata hizo fedha za kumwaga kiu yake inakwisha ? Unadhani kina Newton, Faraday, Tesla na Archimedes wangekuwa wanahangaikia fedha tu wangekesha na kutafuta kufanya vitu ambavyo watu kama wao 99% wanakufa wakati hawajafanikiwa ku-prove theory zao au wakipata hicho kitu credit zinakwenda kwa wengine ?
To each his / her own.....
Hakuna Skills ambao haina faida na kama jamii tunahitaji watu tofauti wenye ujuzi tofauti na sio mashindano na kuhakikisha unapata the maximum you can get....Matokeo yake watu wanaanza ku-monitize huduma ambazo inabidi wazifanye kwenye mishahara yao (rushwa na 10% za kutosha)