Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Niseme tu mwaka huu nimekuwa mvivu sana kusoma vitabu. Nimegusa kidogo kwa kusoma vitabu hivi:
1. The Master - Key To Riches by Napoleon Hill,
2. The Magic of Thinking Big by David J. Schwartz (Ph.D)
3. Novels za James H. Chase: This is For Real, Shock Treatment, na Paw in The Bottle.
 
nilivyo soma ni shall we tell the president? hiki ni kitabu ambacho kinazungumzia siasa za marekani na kingine title nimeisahau ila imeandikwa na mtaliano anaitwa mario puzo kinazungumzia ujasusi
 
Red Giant, mwaka huu niliutoa kwa ajili ya kusoma biblia, nimesoma (sio kwa roho kama wanavyoambiwa waamini) na kugundua mapungufu, uongo, kukosekana kwa ukubalifu wa dhana zake na upotoshwaji wa historia, imani na utamaduni.

Nimekuwa na mtazamo mpya juu ya 'maandiko matakatifu'!

Aione: MR. CONFIDENT
 
Last edited by a moderator:
Waweja sanaMkuu kwa Compliment...January nilianza na Skipping Christmas cha John Grisham kishanikasoma The Street Lawyer chake pia! Mwezi wa pili nikanunua A Time to Killcha Grisham ila nilisoma kidogo nikaacha!

Mwezi Marchnilikuwa na mambo mengi nilisoma tu malalamishi ya Mr. Mwijage Ludovick namnautawala wa Mwalimu ulivyokuwa wa chuma kwa wale waliotofautiana naye kimkakatiama alioona ni mwiba kwenye harakati zake(Kwa mujibu wa Mwijage)

Mwezi wa nnenimesoma vitabu vitatu vya Philip Pulman ambavyo ni The Golden Compass,TheAmber Spyglass na The Subtle Knife.Mwezi wa tano sikusoma Kitabu ilaniliangalia Series moja matata sana ''Breaking Bad'' iliyoandikwa na bwanaVince Gilligan,Mkuu itafute kama hukuwahi ipitia!

Mwezi waSita nimesoma kitabu cha Mr. Kelvin Mponda Titled ''Tai kwenye Mzoga'' Huyubwana ni Chipukizi kwenye tasnia ya uandishi ila nadhani kama hatabweteka soontutapata Eddie Ganzel wa kizazi chetu! Pia nilisoma Mdunguaji Cha Hussein Tuwaof which kama hukuwahi vipitia vipitie tu hutalaumu uamuzi wako!

Mwezi wasaba pilika zilikuwa nyingi najisamehe bure kutofungua kitabu though nilinunuaThe Idiot kilichoandikwa na Fyodor Dostoyevsky.Mwezi wa nane na tisa nilipitiamisuko suko ya haya makitu ambayo hatujazaliwa nayo ila yanaendelea kutukamataakili zetu,ni mapenzi nazungumzia so nilisoma mawazo ya bwana john Gray '' Menare from Mars, Women are from Venus''
Lastly mwakahuu nafunga na Cross Fire ya James Patterson...ndo nafungua kurasa kilanipatapo wasaa...
 
Mkuu nimependa sana bandiko lako hili.... very impressive..
hongera sana mkuu........

Nimesoma vitabu zaidi ya 20 mwaka huu...lakini nikiviandika humu vitawa bore...maana hata mimi vingine vilini bore sababu ni vya academic discipline (yangu) zaidi...

Napenda sana novel lakini muda hauniruhusu nimezirundika nasubiri nikiwa free...maybe sometimes next year...

Ila uzuri wa vitabu vya life skills unaweza kusoma hata page moja kwa siku ukapata kitu...ndio maana nakuwa navyo pembeni ili kusoma nikiwa bored na scholarly books...
 
hongera sana mkuu wa kusoma kwa purpose. unajua kuna vitabu vingi vyenye themes lukuki. hivyo ni vizuri kuchagua kusoma ishu zitakazokufaidisha, simaanishi tuache kusoma kwa furaha.
 
John gray nimesoma kitabu chake kimoja common sana... Men are from mars vitabu vingine naishiaga katikati looo
inawezekana haujapata vinavyo kukonga roho. mi kuna vitabu vingi nimeishia njiani ila vingine nasoma hadi usiku mrefu. kuna mdau aliwahisema kusoma isiwe adhabu bali tukufurahie. i hope utapata vinavyokupendeza.
 
Mimi nimesoma:
1.Gideon's Spies by Gordon Thomas
2.Spying Armageddon
3. Winner take all by dambisa Moyo.
4. Think and Grow rich by Napoleon Hill.
Ndio mwaka nilosoma vitabu vichache kuliko yote😀
 
ulikuwa na usomaji serious sana. nimependa hicho cha jim crow maana nilicheki documentary the central park five
nikajikuta nafuatilia wakina emmett till, scottboro boys et al. itabidi nikitafute.

Hicho cha gadaffi kinaonekana hakichoshi maana kitakuwa kinastaajabisha. nilivyosoma the fate of Africa nikagundua viongozi wengi wa wakati wa uhuru wako tofauti na heshima tunawapa leo.
 
I've always been an omnivorous reader.

So I read a whole bunch of different things - blogs, newspapers (I even read The Gleaner...now how many in here even know what that is?), The Encyclopedia Americana, the Encyclopaedia Britannica.....

You name it I read it.

But right now I've been busy reading my dad's work - from the time he was a student in the US all the way to his college/ university teaching career.
 
hongera sana mkuu.
 
Naombeni msaada hivo vitabu vizuri vya kiswahili kama hiko cha ludovic mnanunulia wapi?manake huku arusha hakuna hivo.
 

Can Asians Think?
 

mkuu umeni inspire sana kusoma vitabu ila ebhu niambie ni vitabu gani ulivyovisoma vikakusaidia kupresent vizur
 
Nimeipenda sana hii thread, kwani na mie ni msomaji mzuri sana wa vitabu.... Kwa mwaka huu cjasoma vingi inafika kama vitano na nimevimaliza. Ila kuna vitabu kama viwili alivovitoa mleta mada lazima nivitafute kwani nimevipenda sana!
 
mimi nimesoma vitabu vufuatavyo,

1. 168HRS You have more time than you think - ni kitabu kinachofundisha kuwa muda upo mwingi. Kuna mifano hai ya watu waliofanikiwa katika suala hili, ukikisoma kwa utulivu hautabaki kama ulivo. Misisitizo ni kuinvest katika key competency yk.
2. The Monk who sold his Ferrari - inspirational book safi sana.

3. Managing Difficult projects - techniques za kuendesha miradi sumbufu kikiwa na case study za kutosha.

4. Prophets and Kings - kitabu kinaelezeamanabii na wafalme wote wa bibilia na jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa akifanya nao kazi. Utajifunza kulikuwa na watu wakorofi, vigeugeu, wenyemisimamo, waovu, jasiri, Pia Mungu ukifanya uovu wowote ule siku ukiamua kumrudia yeye hana shida kabisa.

5. Mwanzo na Kutoka - Vitabu vya bibilia vinavyofundisha dunia hii imetoka wapi na kwa nini tuko katika taabu, vita mashaka. pia vitu tunavyoviona leo sio vipya vimewahi tokea zamani. Uhusiano wa Mungu na ISRAEL (familia ya jamaa mmoja anaitwa yakobo)

6. Take Charge of your life -inspirational audio za Jimm Lohn

7. Inspirational Speeches of Dr Otabil Mensah.

8. miday's touch by robert kiyosaki

Mwakani ni mpango wa kumaliza Bibilia Nzima, Ni rahisi maana natumia KJV Dramatized audio huku nafuatilia kwa hard copy ya bibilia. unakuwa unasoma kama vile upo kwenye tukio. zaidi ya hilo nahitaji kusoma vitabu zaidi ya kumi nikianza na why nations fail. Lakini mwisho wa siku niwe na uwezo wa kuandaa articles za kuelimisha jamii kutokana na elimu nitakayoipata.

Ni kazi lakini naamini tatizo huwa sio muda tatizo ni nia.
 
still reading - OUTWITTING THE DEVIL , Napoleon Hill.. unasoma kitabu mpaka unasisimka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…