<br />
<br />
hivyo vyote umevisoma hivi karibuni?!!
across the bridge na two in one!Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kujisomea vitabu vya ziada na hata vya kiada na vya kitaaluma.
Hapa naomba tusaidiane kujenga spirit ya usomaji wa vitabu kwa kuorodhesha vitabu tulivyosoma au ambavyo hatujamaliza kuvisoma siku za karibuni.
Green book is peace of sh!tThe GREEN BOOK by Muhamar Gadaffi.