Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hicho kitabu kimeenda dimension nyingine.

Kuna sehemu unaulizwa, vipi kama panya walio katika labotatory wana akili kuzidi watu wanaowafanyia majaribio, na kiukweli hao panya ndio wanawafanyia watu majaribio, lakini wamejifanya kama wao ndio wanafanyiwa majaribio ?
 
Becoming by Mrs. Obama was a very inspiring exercise in humility. I read it when it came out.

Mama Obama kawa open mpaka nikawa nasema Mama haya mengine ungebakiza.

Kuna sehemu alihadithia jinsi wazazi wake walivyoweka kipaumbele kwenye kusomesha watoto mpaka wakakosa kuwa na nyumba yao wenyewe kwa miaka mingi

Kutaja kitabu hiki kumenikumbusha mjadala mwingine wa hapa JF unaowanyanyapaa kama kiasi waajiriwa wasiojenga nyumba. Niliwatetea kwa kusema watu tofauti wana malengo tofauti katika maisha.

Wengine labda wanasomesha future leaders.
 
Kwanini? Wakati kila mtu aliona Hawa alivookoa ajali na vifo vya watu huku WANAUME wanashangaa shangaa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Wapi huko Hawa aliokoa ajali ya vifo ?
 
Hii The vengeance ameandika nani Wilchuma? nimekitamani innaonekana ni story flani hivi amazing.
 
Jamni pdf wakuuu mnatutamanisha tuuuu,binafsi nimesoma cha how to make friend and influence p, nimepata kitu nime apply nikaanzia kwa watoto imework nina rafiki wengi watoto wadogo mpka wazazi wao wanashangaa,bado kwa watu wakubwa n.k
PDF zimewekwa Godimpare. Anza na zilizowekwa kwanza.
 
Asante sana kwa huu uchambuzi. Nina imani wengi wamefunguka macho waliokuwa hawajui kwamba vinavoandikwa kwenye kitabu unaweza kuvitumia katika kuwin maisha.
 
you're so smart twinnie, and I wrote that quotation purposely for you, (ifu yu no wari aimini)..!!

you'll have it babes, it's one of the funniest and sweetest book I've ever read.!
 
Soma na hiki cha I can, I must,I Will cha Dr MENGI. Kina maisha halisi ya mtanzania na pia njia alizotumia au kupitia hadi kufanikiwa ni aplicable kwenye maisha halisi ya mtanzania unlike walizoandika wazungu.
 
It's a real nice book as it reminds us to live our life fully and purposefully by discovering our calls, respect our instincts, practicing tough love, being honest, striving to be a better person and helping others for better or for worse.!!
Great write-up. Thank you for sharing SweetieLee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…