Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #2,841
Hapa nilikuwa na kazi ya kusoma kimoja kimoja. Ila kabla sijajua ni vitabu gani nilikuwa nataka kukuuliza, huwa unafanya nini na hivi vitabu baada ya kuvisoma? Ila nimepata jibu ni lazima vitunzwe na kurudiwa kusomwa mara kwa mara.Sasa kwa vile sijui harufu ya weed, nashindwa kujua kama hii ni weed au ndio harufu ya karatasi chakavu.
Ila inaweza ikawa harufu ya weed, nimeona kuna jamaa amempost yule kiongozi wa Sudan kusini yuko na mzigo kama huu...
View attachment 1980037
Hapa nilikuwa na kazi ya kusoma kimoja kimoja. Ila kabla sijajua ni vitabu gani nilikuwa nataka kukuuliza, huwa unafanya nini na hivi vitabu baada ya kuvisoma? Ila nimepata jibu ni lazima vitunzwe na kurudiwa kusomwa mara kwa mara.
Hongera sana. Ni vya kwako, bila shaka.
Sio vibaya kabisa. Harufu ya weed na ile ya fresh ink.Sijavisoma vyote PP, nimemaliza baadhi, vingine nimesoma sehemu tu nnayoona naihitaji kujua kitu kwa wakati huo, vingine sijasoma kabisa, nimevihifadhi for future use.
Ila kimsingi ni mkwara tu. Hivyo ni ya vitabu vingi nilivyonavyo lakini sehem kubwa viko makao makuu.
Ni vibaya kuwa na ka Library nyumbani ili niifurahie harufu ya karatasi (weed) vizuri?
I am glad you find it useful, sawima.Hivi huu uzi kwanini mods wasiuweke kule juu tuwe tunaukuta huko kila siku.
Asante sana ulieanzisha huu uzi nimepata vitabu vya kutosha hapa kila siku lazima nisome chapter kadhaa.
Kusoma kuna raha yake nipo mdogomdogo na east of eden.
Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.Najuta na kuulaumu mfumo wetu wa elimu uliotupelekea kuwa mbali na dunia, haswa kwenye lugha ya kiingereza.
Kusoma vitabu ilikua ni hob yangu lakini nimeisia kwenye biblia tuu kwa sababu ya lugha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata kama huyu hatokujibu naomba wewe utoe mchango kwa wale ambao hawaelewi kabisa vitabu hivyo,ama inakuwa ngumu kwao kuelewa sentence imekusudia nini kutokana na kutokujua maneno mengi.Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.
Hata hivyo nimefurahi kukuona, Pendael24. How are you?
Nilipanga nisome kitabu fulani,lakini kwa sasa nimekuwa nachagua sehemu za kusoma.Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.
Hata hivyo nimefurahi kukuona, Pendael24. How are you?
Mimi sijambo, nimefurahi pia kwa uwepo wako, muda kidogo tumepotezana!Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.
Hata hivyo nimefurahi kukuona, Pendael24. How are you?
Misamiati iliyotumika kwenye bible ya kiingereza ni ya miaka mingi sana, hata mtu anayekijua kiingereza anaweza kutoka mtupu bila msaada wa kamusi.Mimi sijambo, nimefurahi pia kwa uwepo wako, muda kidogo tumepotezana!
Naweza kusoma karibu kwa usahihi neno la kiingereza, karibu maneno yote hakuna linalonishinda.
Kile ninachokisoma nakielewa ila nikijua ninini ninacho kusoma, yaan kwa mfano nasoma makala fulani ihusuyo siasa, hapo naelewa mwandishi anachosema, baadhi ya maneno sielewi ila ila natembea kwenye lengo la mwandishi kujaribu kupata kitu.
Sasa kwenye vitabu sasa!!
Nilijaribu wakati fulani kusoma biblia ya kiingereza, kusoma naweza ila kuelewa sio kwa ukamilifu, ndipo nikaona isiwe shida kiingereza sio kwa kila mtu.
Kuna haya matoleo mapya kidogo yamelainishwa lakini kweli bado ni ngumuMisamiati iliyotumika kwenye bible ya kiingereza ni ya miaka mingi sana, hata mtu anayekijua kiingereza anaweza kutoka mtupu bila msaada wa kamusi.
Nimemalizana na "if tomorrow comes", nimepiga na "wind mills of the gods".Nakupa kimoja ili urudi uniambie namna umekipenda ndiyo nikupe kingine.
Sawa safuher, ninakuja kuandika. Namalizia kitu.Mkuu hata kama huyu hatokujibu naomba wewe utoe mchango kwa wale ambao hawaelewi kabisa vitabu hivyo,ama inakuwa ngumu kwao kuelewa sentence imekusudia nini kutokana na kutokujua maneno mengi.
Nasubiri kwa shauku sana huo ushauri kwa sababu ninaamini kwa 80% utanifaa.
Hongera sana, SMART GHOST.Nimemalizana na "if tomorrow comes", nimepiga na "wind mills of the gods".
Jumatano insha'Allah, nitaanza "Doomsday conspiracy" kama nitakua nimemalizana na hiki nilichokianza leo!
Try this one too.View attachment Destiny Disrupted_ A History of the World Through Islamic Eyes ( PDFDrive ).pdfMwaka huu nimejikita sana kusoma vitabu vya kidini (Kiislam) na vitabu vya Historia.
Niliwahi kukisoma kidogo kisha nikakiacha. Ila ngoja nikidownload tena.Try this one too.View attachment 1987639