Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

✅🙏🙏🙏
 
Huu ushuhuda uwafikie wanaosingizia kuwa hawana kipaji cha kusoma vitabu.
 
Jamni pdf wakuuu mnatutamanisha tuuuu,binafsi nimesoma cha how to make friend and influence p, nimepata kitu nime apply nikaanzia kwa watoto imework nina rafiki wengi watoto wadogo mpka wazazi wao wanashangaa,bado kwa watu wakubwa n.k
✅👏👏👏🙏
 
Kitaitwa the boi

Kinaitwa THE BOOK OF GOLD....weka dau nikisake mana upatikanaji wake ni shida kuna mdau anacho lakin anahitaji Mkwanja....!!!
Usitufanyie hivo bana we tudondoshee mjitabu hapa hela ya nini tena, ahsante kwa jina lake ngoja nikisake.....mwandishi nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…