Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Naomba litabu cha napoleon hill "LAW OF SUCCESS
 
Dah. Hongera. Basi mimi nina 'ukilaza' kwenye baadhi ya mambo. Concepts za hiki kitabu zilinishinda kabisa kuzielewa.
Kitabu kile ndo nilikielewa zaidi maana kana kwamba nililuwa nasoma idea zangu siku ya kwanza naanza kukisoma nikawa nashangaa najisemea hee kumbe kweli nilichokuwa nawaza tokea zamani.
 
TRADING IN THE ZONE mark douglass. kimenifunza mambo mengi sana maana nilikuwa naelekea kukata tamaa now safari ndo kwanza kama inaanza vile babu huyu abarikiwe huko aliko
Hiki kitabu kimekufunza nini mkuu ?
 
Kwa wapenzi wa SciFi. Children of Time ni moja ya SciFi bora sana. Inazungumzia vitu vingi main ni evolution na stages za kustaarabika.
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…