Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hiyo namba 5. itabidi nikisome maana nimeona review yake sio mbaya
 
Acronomy hebu fafanua kidogo.
Nimepata fursa ya kuishi na watu wanaosoma vitabu, wa kwanza alikuwa Uncle wangu, huyu kwake alikuwa ''book shelf''kubwa na alikuwa msomaji mzuri sana wa vitabu. Nilianza kusoma vitabu nilipokuwa naishi kwake, hakunilazimisha wala alikuwa hajisifu kwa usomaji wake wa vitabu lakini alikuwa na msemo wake ''ubongo unahitaji kulishwa vitu tofauti kila mara, na njia nyepesi ni kusoma vitabu vya kila aina'' . Kauli hii ilinivutia na nikaanza kusoma vitabu. Watoto wa huyu uncle wangu sio wasoma vitabu kabisa na anko wala haonyeshi kuwalazamisha.
Wa pili ni baba yangu, ni msomaji mzuri sana wa vitabu hasa Spiritual Books na Bible Commentaries. Tumezaliwa kadhaa kwetu, mzee alituandalia mazingira ya kuwa wasomaji wa vitabu ikiwemo kuwa na ''book shelf'' kubwa na kununua vitabu vingi tofauti tofauti, lakini kamwe hakuwahi hata kutulazimisha kusoma vitabu.
Nadhani utambuzi mmoja wapo wa muhimu sana unaoupata kwenye usomaji wa vitabu ni kutambua kuwa watu wapo tofauti hivyo unaanza kuelewa binadamu wengine na kuheshimu ''interest'' zao.
Wasoma vitabu wazuri huwa na tabia hizi
1. Huwa na misamiati mingi katika lugha husika
2. Huandika na kuongea kwa ufasaha
3. Huwa na ujuzi wa kuelewa namna ya kuishi na watu
4. Sio watu wanaochangia kila mada, huwa wasikilizaji wazuri na ikitokea akaongea basi huwa anaongea kwa kujiamini na kwa usahihi.
5. Hawana ubishani sana hata kama yupo sahihi.
6. Uelewa mpana wa dunia na mambo yake.
 
Sio jambo gumu, wanawake wote tunapenda attention, time and love kuliko hata hela.
Bravo!
Ni wanawake wachache sana. wengi wanapenda kutanguliza shida. without knowing that when a man loves you he will provide for you.

i had a friend who fell in love with a barmaid given that the guy was a foreigner yule mdada akataka kutanguliza shida. ilibidi nimute chemba yule mdada nikamwambia asitangulize shida ya pesa ikibidi siku atakayomtunuku jamaa asiombe hata kumi then ataona matokeo yake.

She did as i advised her; you know what happened? the guys used to give her 200$ or more per week.
she came and thanked me for the advise i gave her.
 
Umekisoma vizuri hicho kitabu?
 
You got him kirahisi 🀣 🀣
 
Sojakisoma, nasoma dondoo za wasomaji hapa.

Kwa dondoo hizo naona logical non sequitur.
Kwa ufupi mwandishi wa hicho kitabu amejaribu kuwa shauri wanawake wenzake wasiwe cheap. hivyo akawa anawapa mbinu na kujarubu kuwaelekeza jinsi ya kukwepa mitego yetu.
 
Asante kwa maelezo haya acronomy
 
Good!
Hii What Everybody Is Saying kinahusu nini?
What everybody is saying kinahusu Body language! So humo ndani author kaeleza mambo mbalimbali na maana zake. Mfano posture za miguu na mikono, facial expressions, kijasho chembamba, direction ya macho pindi mtu anapofafanua jambo. n.k. ni kizuri sana ukikielewa.
 
Tatizo njaa ndio zinatuponza na hali ngumu za maisha hadi ukimpata mwanaume unahisi kama umepata kazi kwenye shirika Fulani na huyo ndio boss.

Ila kwa mwanamke anayejitambua hata kama ana njaa lazima awe na ustaarabu.

Nakubaliana na wewe Fursakibao.
 
Vitabu vyenye hamasa kubwa vimeandikwa na mabepari. Sasa wewe endelea kuisoma vikaragosi vya akina Erick Shigongo kama stress hazijaongezeka badala ya kupungua
Hivi kwanini mtumie kingereza wakati nyie ni waswahili wa Yombo? Sio fair kabisa mnachotufanyia mliosoma shule za mabasi ya njano..
 
Kwa ufupi mwandishi wa hicho kitabu amejaribu kuwa shauri wanawake wenzake wasiwe cheap. hivyo akawa anawapa mbinu na kujarubu kuwaelekeza jinsi ya kukwepa mitego yetu.
Ametuambia "flip the switch in your female brain, so you can beat men at their own game" ili tu "become the type of woman that commands respect from men".

Kuna hicho Why Men Love Bitches itabidi nikipata muda nikisome na mimi nijue mbinu zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…