Trust me, you are one of them.I wish ningekuwa miongoni mwa those sensible JF friends zako.
Nilikuwa na watch Thanksgiving day parade kwenye live stream nimefurahi. Furahia Kiranga.
OMG. Thank you Kiranga.Trust me, you are one of them.
You got me to read "East of Eden".
I had it on my to read list for the longest.
Thanks.
Karibu sana Petrol Tank.Nimemaliza kwa kifupi kupitia uzi huu japo kwa masaa zaid ya matano, uzi mzuri natoa pongeze kwa ma great thinker wote humu ndani
Ili tuende vizuri inabidi tujadili jambo moja kabla ya jingine,
Naomba nianzie suala la elimu,
Mifumo ya elimu kote duniani ipo kwa ajili ya kutengeneza wafanyakazi(labour force), Lengo la elimu ya darasani ni kukufanya wewe uwe mtumish(mtumwa?).
Na kwa maana hiyo ni vigumu sana kujiajiri, hata kama umesoma biashara(bussness) au ujasiliamali(entrepreneurship), nitaelezea ni kwa nini...
Mitaala ya elimu iko facilitated na matajiri wakubwa(tycoons) ili kupata wafanyakazi kwenye viwanda na makampuni yao, hivyo, elimu hiyo haina dhamira ya kukufundisha wewe kuhusu pesa. Kwani ukijua kuhusu pesa utakuwa tajiri na hautakubali kuajiriwa tena, hivyo watakosa mfanyakazi.
Ukisoma kuhusu Bussness Adminstration, unasoma kuhusu KUSIMAMIA PESA TU.
Ukisoma kuhusu FINANCE, unafundishwa mambo yahusuyo, HISTORY OF FINANCE, TYPES OF FINANCE, utasoma hadi FOREX ya ONTARIO.
Money management jina linajielezea, ni kumanage pesa tu, hakuna la ziada...
Fani zote tajwa hapo zinakufundisha wewe kwa namna moja ama nyingine kusimamia pesa katika kampuni ya mtu and it rarely teaches you how to start your own company na Hufundishwi kabisa kitu cha muhimu kabisa, HOW TO MAKE MONEY/HOW TO MAKE MONEY MULTIPLY, kitu ambacho ni muhimu kabisa ili kutajirika..
Naomba niazime maneno toka kwenye The richest man in babylon, "I decided that i have to learn the principles on how to accumulate wealthy, make it my duty and do it well.." huyo ni Arkad aliyeamua hivyo, and that is the key,
Cha kusikitisha, hata usome finance au biashara, you are never taught, how to accumulate wealthy!
Unafundishwa kusimamia wealthy ambayo iko accumulated!
Jamaa kadata si mchezo.Man....Trevor Noah’s “born a crime” is something else!
Hiii kitabu nzuri sana,ukimaliza utakuwa hatari kwenye Ku close deal.
Nitafurahi pia mwenye soft copy ya dk mengi akinipa
Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".Nimesoma vitabu vitabu 70 mwaka huu namshukulu mungu.march to may nilipata mda kidogo nilisoma vitabu vingi sana.saivi nasoma NoahView attachment 1277341
Leaders are readers and readers are leaders
Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".
Professor Harari namkubali sana.
Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".
Professor Harari namkubali sana.
Ninachompendea Dr. Harari ni jmkwamba, anafumbua macho kwenye mengi mapya na hata akiandika kuhusu mambo ambayo tayari unayajua, jinsi anavyoyaandika na kuyaunganisha, anavyoweka pamoja ushahidi kutoka nyanja tofautibza sayansi, hiatoria, baiolojia, sosholojia inapendeza sana.Yuko vizuri anachambua sana mambo na kuyaweka peupe mtu achague pumba na mchele
Soft copies nafikiri zote ninazo. Nikikaa sawa nitakutag hapa. Nipe muda kidogo.Unapataje softcopy mkuu