MKIBAIGWAsharkss
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 572
- 1,331
Vingine vya bure vipo kwenye hili group la telegram Audio Books Archive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimeandikwa na nani weka na picha ya kavaJamni pdf wakuuu mnatutamanisha tuuuu,binafsi nimesoma cha how to make friend and influence p, nimepata kitu nime apply nikaanzia kwa watoto imework nina rafiki wengi watoto wadogo mpka wazazi wao wanashangaa,bado kwa watu wakubwa n.k
Pdf iyoView attachment How to Win Friends and Influence People.pdfKimeandikwa na nani weka na picha ya kava
Shukraaaan
Jamaa yuko vizuri sana. Nimesoma Sapiens, kina ideas ngeni sana. alinifurahisha anavyodefine dini, kwamba mambo kama ucommunist yanaweza kuwa ni dini. Na kuna ile anazungumzia sexual dimorphism kwa binadamu, imezoeleka kueleweka kuwa kiasili wanawake ndiyo wamepambika!!. Jamaa anajua. vipi hicho Homo Deus, kipo poa?Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".
Professor Harari namkubali sana.
The Monk who sold his Ferrari by Robin Sharma
Mission to ciena by james hadley Chace ...nilikua sisomi kabisa vitabu hata page 3 nilikua sifikishi ila baada ya kusoma hichi kitabu mzee skuzi 30% ya pesa yangu inaenda library na maduka ya vitabu
Homo Deus nacho kimetulia, kuna mambo kapiga mulemule. Ila kajikita zaidi ku project dunia itakavyokuwa baadaye, kwa mfano, watu wanavyoweza kuingilia process ya evolution na kuiongoza wao badala ya kuachia natural selection ichukue mkondo.Jamaa yuko vizuri sana. Nimesoma Sapiens, kina ideas ngeni sana. alinifurahisha anavyodefine dini, kwamba mambo kama ucommunist yanaweza kuwa ni dini. Na kuna ile anazungumzia sexual dimorphism kwa binadamu, imezoeleka kueleweka kuwa kiasili wanawake ndiyo wamepambika!!. Jamaa anajua. vipi hicho Homo Deus, kipo poa?
Pamoja Sana.Nshavipitia muda mrefu. Asante mkuu
Pamoja Sana.
Nimesahau hapo, ila nakutana na waandishi wengi wakishangaa uongo wa paper money. Ila jamaa anaeleza vitu hadi unajiuliza hii ni history?. Ni kweli, si cha kusoma mara moja, maana ni historia nzima ya binadamu inazungumzwa na si kwa kuchosha. Mwakani ntasoma hicho Deus, Elimu ya DNA imefanya suala la evolution liwe faster sana. Ntamuweka Sean Carrolls kwenye usomaji mwakani.Homo Deus nacho kimetulia, kuna mambo kapiga mulemule. Ila kajikita zaidi ku project dunia itakavyokuwa baadaye, kwa mfano, watu wanavyoweza kuingilia process ya evolutiin na kuiongoza wao badala ya kuachia natural selection ichukue mkondo.
Mwaka 1999 nilisoma kitabu cha Bill Gatws cha "The Road Ahead". Niliposoma niliona kama utani tu.Alitabiri mambo mengi sana yanayotokea sasa. Tangu hapo nimekuwa na open mind sana na plausible predictions. Come to think of it, being a huge Science Fiction fan, a lot of science was inspired or predicted by authors such as H. G Wells, Arthur C. Clarke and Isaac Asimov
Ulimsoma Harari kuhusu "manufactured reality", "paper money" na Pablo Escobar alivyochoma mamilioni ya dola alivyokimbizwa milimani Colombia ili tu binti yake asipate baridi?
Sapiens is worth re-reading. Kuna sehemu alienda so deep kwenye anthropology, halafu kabla huja digest vizuri anakupiga mambo ya molecular biology na DNA.
I just finished Sean Carroll's "The Big Picture: On The Origins of Life, Meaning and The Universe Itself".
Fascinating stuff. I want to read his other books.
This book somehow reminds me of Stephen Hawking's "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes".
A classic that opened my eyes a lot.