Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

You made a great summary.
Halafu ukisoma reviews za hiki kitabu unaweza kuisi ni love story kumbe siyo.
Itabidi nijitahidi niangalie movie yake.
Daisy was imaginary,

Daisy anawakilisha wadada wa Newyork early 1920, ambao waliamini katika materialism (Wala Bata) kipindi Cha Boom.
 
Daisy was imaginary,

Daisy anawakilisha wadada wa Newyork early 1920, ambao waliamini katika materialism (Wala Bata) kipindi Cha Boom.
Ofcourse, Daisy is just a really materialistic.
Vipi kwenye hiyo movie Gatsby alikuwa anampenda kweli Daisy au ni kwa sababu she was rich?.
 
Kuna watu wanaponda hiki kitabu eti mwandishi ameponda elimu za shule,kitu ambacho siyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wa vitabu vya professional tuna post wapi....?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Kabanga wengi, au pengine wote katika huu uzi ni proffessionals hata kama wana post zaidi kuhusu vitabu wanavyosoma in their leisure time.
Uzi ni kuhusu bookworms wa JF na vitabu wanavyosoma. Kama kuna vitabu kwenye proffession yako ambavyo ungependa ku share nasi angalau katika level ya general interest naomba nikukaribishe kwa niaba ya wachangiaji wengine.
Binafsi, interests zangu katika mambo tunayoweza kudadisi kwa akili zetu hapa duniani na popote pale hazina kikomo na naamini hii ni kwa wengi ambao wanachangia kwenye huu uzi.
cc Paula Paul, Kiranga, Mwalimu RTC, Malcolm Lumumba na wengine.
 
You made a great summary.
Halafu ukisoma reviews za hiki kitabu unaweza kuisi ni love story kumbe siyo.
Itabidi nijitahidi niangalie movie yake.

Been giving this book a passing glance in my local library for years now though I admit the title has always tempted me.
Thanks to you Paula, my yearning to read it is now very much awake and after I complete my current schedule consisting of The Emperor’s New Mind, A Bend in the River, The Future Shock, and A Spy’s Life, I will definitely start on it.
On another note Paula, do you also read poetry?
 
ahsante ndugu, nimekuelewa
 
You are absolutely right Nowonmai.
 
A Bend in the River It's a genuinely powerful Novel .

I rarely read poetry. I tend to prefer that is written like prose because I am not an expert. You see, I find difficult to find all the hidden meanings/massages.
 
A Bend in the River It's a genuinely powerful Novel .

I rarely read poetry. I tend to prefer that is written like prose because I am not an expert. You see, I find difficult to find all the hidden meanings/massages.
A Bend In The River, V.S Naipaul.

Jamaa aliandika kitabu kimoja kuna sehemu alikuwa anaelwzea uzuri wa milimani Kashmir India huko, ukimsima unajiona kama kakupeleka huko umefika unapaangalia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Siku watanzania tukiamua kuanza kusoma vitabu ili tuelimike na sio kufaulu mitihani, lazima tutaibadilisha kabisa nchi yetu. Hakuna jamii inayopiga hatua, ikiwa ina watu wanaokaa kunywa kahawa na kusimuliana mambo tu, hata yasiyo ya kweli. Ni jamii inayoumwa
 
Upo sahihi.
 
Kinaitwa "India: A Million Mutinies Now".

Naipaul ni Nobel Laureate (Literature, 2001) na ukisoma vitabu vyake unaona alistahili.
Unapenda kusoma Kiranga.
Yaani mimi hilo jina lilivoanza tuu na India sijui lini ningewaza kukisoma.
Yupo vizuri sana, hivi si ameshafariki?
 
Sawa.
Sasa hivi unasoma kipi nione kama naweza kukuiga nikimaliza George Orwell's 1984?.
Sasa hivi nasoma "Churchill: Walking With Destiny" cha Andrew Robers.

Historia ya maisha ya Sir Winston Churchill aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.

Fair warning.

Kitabu halisi kina kurasa karibu 1,000, ukiongeza mazaga ya sources na index kimepita pages 1,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…