Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?


1,000 pages?. Nikisoma page 50 kila siku nitakisoma kwa siku 20.
Na ulichotoka kukisoma? Au nacho kilikuwa na page nyingi?
 
Too many ....

Sema I recently finished these three. I'm really looking forward to reading the rest of Alfu Lela Ulela collection...this one is pretty good🙂🙂


And I'm currently shuffling between these 2 depending on the mood. 😏😏
 
Wadau, Mimi naomba mnipe mbinu za kusoma vitabu na kumaliza kwa muda mfupi, maana Nina kama miezi mitatu hivi tangu nianze kupitisha macho kwenye vitabu, ila najikuta natumia zaidi ya mwezi mmoja kumaliza kitabu kimoja tena nakuwa nimegusagusa tu, nakuwa sijapata uelewa wa kina. Naombeni walau mnielezee nisoma ili nielewe kwa kina na nimalize kwa muda mfupi. Ahsante.
 
1,000 pages?. Nikisoma page 50 kila siku nitakisoma kwa siku 20.
Na ulichotoka kukisoma? Au nacho kilikuwa na page nyingi?
Kabla ya hapo nilikuwa nasoma historical novel "A Long Petal of The Sea" cha Isabel Allende.

Kinaelezea family saga na maisha ya wakimbizi waliotoka kwenye Civil War ya Spain wakaenda kuishi Chile. Ni kama unasoma history na novel kwa wakati mmoja, kwa sababu ni fiction iliyokuwa based kwenye historical facts.

Chenyewe si kirefu sana, kina kurasa 336.
 
Asate sana nitakisoma hiki.
Nimeona original language yake ni Spanish , wewe umetumia hii hii au cha English?
 
Maybe you are just reading the wrong books. Try audio books or start with collection of short stories Mr. And if non of that works, books are not for you and there's no shame in that.
Dear Kamanda wa Kweli,

Jaribu kufuata hizo shauri hapo juu.
Ukikwama karibu tena nikushauri mbinu nyingine
 
Asate sana nitakisoma hiki.
Nimeona original language yake ni Spanish , wewe umetumia hii hii au cha English?
Cha English, kuna vitabu vingine ukisoma translation unaona kabisa, ila hiki kina flow vizuri sana hata hujui kama kimekuwa translated.
 
Hongera sana mkuu.
Hamna shida tunaweza kuanza kukisoma ukiwa tayari kama bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu.
Hamna shida tunaweza kuanza kukisoma ukiwa tayari kama bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mic u, dah kitambo sana umepotelea wapi aise
Mungu ni mkuu sana,nimemaliza think & grow rich saiv nipo na kiyosaki 4 quandrant, week ya kesho itakuwa week 2 toka nimeza, naomba Mungu anisaidie mwz unapo isha niwe nimemaliza
Nikisha maliza naomba tupeane ratiba yakusoma kwa pamoja vitabu ninaovyo ona ni vigum
 
Some of the books have unexpected bad endind....East of Eden went against my huge expectations the same to Great Gatsby.... Arrrgh

Reding Steinbeck again on Tortilla Flats...am amused and entertained let me see the ending

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Currently reading "Cicero: The Life and Times of Rome's Greatest Politician" by Anthony Everitt. Some of the things Cicero said back then are applicable even today.

I am also reading "India: A Wounded Civilization" by V.S Naipaul.

Somebody mentioned Naipaul and I just saw this book on my bookshelf.

I am taking a special interest in India to increase my cultural intelligence as I have a lot of people from India who report to me at work.



Sent using Tapatalk
 
In my opinion, the last page of Gatsby expertly ties everything together and finishes the story perfectly. Is the most beautiful section James.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…