Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #1,221
Sasa hivi nasoma "Churchill: Walking With Destiny" cha Andrew Robers.
Historia ya maisha ya Sir Winston Churchill aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza.
Fair warning.
Kitabu halisi kina kurasa karibu 1,000, ukiongeza mazaga ya sources na index kimepita pages 1,000
1,000 pages?. Nikisoma page 50 kila siku nitakisoma kwa siku 20.
Na ulichotoka kukisoma? Au nacho kilikuwa na page nyingi?