Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?


Good, nitajitahidi kufata hizo taratibu.

Ila kwenye hardcopy ni ngumu kupafata.
 
Ila nadhani ni jambo linalohusiana na uwezo wa Ubongo wa MTU kuhifadhi kumbukumbu
Wengine uwezo wa kutunza no mdogo hats kwenye mambo nje ya vitabu ikiwemo majina,maeneo na hata matukio.
 
umenifanya nicheke
huwa nasoma Vitabu Ila Mara nyingi ukiniuliza author ama Tittle sikumbuki
ninakumbuka tu contents.

Mimi author, main star na naadhi ya contents napatia, ila changamoto ni zile details za ndani ndani. Unakuta napenda kusimulia ila points zinayeyuka. Mpaka nirudie kusoma.
 
Ila nadhani ni jambo linalohusiana na uwezo wa Ubongo wa MTU kuhifadhi kumbukumbu
Wengine uwezo wa kutunza no mdogo hats kwenye mambo nje ya vitabu ikiwemo majina,maeneo na hata matukio.

Sitaki niandike mengi, ila kwenye uwezo mdogo wa kufanya mambo, kuna kisa fulani nachelea kurefusha maneno kingekupa faida kubwa sana katika kuondoa au kuhisi una uwezo mdogo. Almuhimu rudia rudia kukariri jambo mara kwa mara hatimae hukaa.

Tunaambiwa hivi "Hata kamba hukata jiwe". Bila shaka umeielewa bibie.
 
Binafsi sipendi kuweka vitu vingi Kichwani...
 
Huku sasa ndio kuna ladha ya usomaji vitabu.

Nimeshindwa siku hizi kwa sababu inakuwa shida kutembea na hard copy halafu watu wakiazima hakirudi.

Nilikuwa na utaratibu wa kuwa na Library ila kwa novel nimeshindwa, nimeweza kwa academic books.
 
alfu lela lela, the reason behind is a truelies on it
 
1. Feel the fear but do it anyway by Susa jeffrey

2. Atomic habits by james clear

3. The power of now by eckhart tolle

4. Magic of thinking big

5. Change your thinking, change your life by brian tracy

6. The One Thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…