rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Umejifunza nini?
hahaha aahh wapi mimi sipo huko aseeIngia toka😅😅
daaah mm nnaweza kusoma makala ya biashara iliyopostiwa ktk forum flan eg.jf,whatsapp n.k hata iwe na page 10 lakn ktabu hata iweje yaan kumaliza page 3 mtihan.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha aahh wapi mimi sipo huko asee
Hongera sana ila mimi nakushauri ungesoma series zote za The Rich Dad ukishindwa kabisa soma hata hii moja "Cashflow Quadrant".
Yeah kizuri kaka ila sijakimaliza [emoji1][emoji1]Nayo ni nzuri??
Soma kingine kinaitwa CASH FLOW QUADRANT.
Utapata total change kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe amekisoma hicho Kitabu aya sema NenoSoma kingine kinaitwa CASH FLOW QUADRANT.
Utapata total change kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umalize leo kusoma na tayari kimebadilisha maisha?
Naona haja mtaja na yule mume wake anaye kila uziKwa marA ya kwanza leo nimeona umeandika point
kwel binadamu tumetofautiana asee yaan mm nasoma makala kwa sabab najua ina mwisho,,,ila ktu chenye mwendelezo mfano series sjui tamthilia sjui nn daah huwa sio mpenz sanaHhaha.. Mie bas napenda hard copy zaidi aisee...usk lazima nisome hata pg moja!...mie za kuchqpisha nasoma by the way
Unatakiqa ukirudie tena na tena kisha usome how to be rich BT napolian hill.Kisha master,ukamsome Brian Tracy,kasome capitalist nigger hiki ni maalumu kwa watu weusi.Utahamia dimension nyingine ya kufikiri.
Online naweza kusoma?