My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
ilikua Kama umeangalia movie AusioAliyeniambukiza kusoma vitabu alinifunzia hiki, nilijiona mjinga sana nilipokimaliza kwamba nilichelewa wapi kuwa tajiri... ila baadae nikasahau kila kitu na ufujaji wa kipato ukiwa pale pale na zaidi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Fara Sana WeweGood morning millionaire [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
ilikua Kama umeangalia movie Ausio
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Waoohh, nimefurahi kiasi kwamba nashindwa hata kuonesha furaha yangu kwa maandishi.Ahsante mkuu hua nafatilia sanaaa post zako unajua vitu vingi sina budi kufata ushauri wako, huwezi kuamini hiki kitabu nimekisoma kupitia post zako. God bless you.
Sent from iPhone 6s Plus
ThanksYeah kizuri kaka ila sijakimaliza [emoji1][emoji1]
Cashflow Quadrant: Rich Dad's Guide to Financial Freedom - PDF Free Download
Hicho kitabu kimenifanya nimepiga kazi chini miezi mitano imepita....sina mafanikio ninayoyataka but im happy....nashukuru sana Mungu kumjua Rich Dad a.k.a Robert KiyosakiSoma kingine kinaitwa CASH FLOW QUADRANT.
Utapata total change kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nieleweshe.Hujanielewa!
Nilimanisha uko on n offNaomba nieleweshe.
Point hiyo.Kuna ile hali (nguvu na mizuka) inatokea unapomliza kuangalia movie za ngumi unajihisi unaweza ukapiga watu 10 peke yako, nahisi ndo aliyonayo mleta mada
Duh hongera sanaNimekisoma nipo chuo. Nilipomaliza chuo mpaka leo sijafata cheti na sijutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni bonge la genius utajiri anaoupata kwa kuuza vitabu ni zaidi ya alionao, nimebahatika kusoma baadhi ya vitabu vyake ukiachana na maswala ya displine ya matumizi ya pesa formula zake kwa huku kwetu haiwezekani
I've even read The Richest Man In Babylon.Soma vitabu vya waandishi tofauti tofauti.
Utapata maarifa ya kuweza.
Ohhh yeah siunajua maisha tena asee leo hili mara kesho lile. Ukipanga hiki mara kinaweza kisiwe vile unataka. So tuombeane uzima tu.Nilimanisha uko on n off
tayal mzee nishasoma Nina library kweny simu pdf drive imenisaidia mno niliendaga kununua kitabu cha the richest man in Babylon mwamba akaniambia 15 duu kuchek pdf drive VIMEJAAKama hujakisoma kisome kwanza.
Sent from iPhone 6s Plus
Ohhh yeah siunajua maisha tena asee leo hili mara kesho lile. Ukipanga hiki mara kinaweza kisiwe vile unataka. So tuombeane uzima tu.
[emoji38][emoji38][emoji38] kuna watu hawako serious kabisaYaani umalize leo kusoma na tayari kimebadilisha maisha?
Sisi tusio jua Lugha za ughaibuni atuwezi badilika kamwe[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Sent from my iPhone using JamiiForums