Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bro Paula Paul, what're your views on this?
 
Yeah huwa naona watu wanaosoma sana vitabu namna walivyo na upeo mkubwa wa kuchambua mambo, shukrani kwa kunitia moyo mkuu nitajitahidi nianze.
 
Ushauri wako mbaya mbaya mbaya

Wenye akili na kujielewa hawataufuata .

Kuna watu wamepata maarifa kwenye hivyo vitabu na wwamepiga hatua kimaisha (usitake kujua akina Nani)

Hata uwe na pesa vipi Kama huna maarifa wapi pa kuiwekeza vipi kuisave vipi kuimanage hutofanikiwa kamwe utapata pesa leo kesho inapotea inaanza kukimbila kwa waganga ukidhani umeroggwa


Maarifa tunayopata kwenye vitabu darasani hawafundishi .

Watu wote Kama ni pesa tunatafuta huku kitaaa usidhani tuko idle hatuna kazi Wala shughuli zankufanya

Lakini je una maarifa sahihi juu ya ulimwengu wa kifedha na kiuchumi

Siku ingine ukitoa comment humu uwe sober [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kitabu kilimfanya uncle wangu aache kazi yake aliyeisomea miaka minne.

saiz tupo nae tunauza vitabu tunatembeza mashuleni
So amekua kiuchumi kulinganisha na kabla?


Sent from iPhone 6s Plus
 
Bravo for you're comment!

Am sorry if the comment is a fuddy duddy as what you have grasped it, I wanted to garner out my view about this

Talking not in a clandestine,you can have all the knowledge but yet nothing you can do
.if you get time read the book why A students are working to C students.

Note this, I wanted to caution people not to spend much time in reading and listening to inspirational speakers!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Akili yako inakudanganya Kweli.


Sent from iPhone 6s Plus
 
Reading require time management sio kujiendea endea tu

So serious readers wanapanga muda wao sahihi wa kusoma kuepusha Mambo kuingilia

So hustling kitaa zinaendea wakati una noa ubongo makali

So ukiwaambia watu wangoje wawe akina bili gates au Warren buffet ndio waanze kusoma kitabu duuuh
It doesn't make sense unataka wwapate pesa halafu wawe vilaza wakazinywee pombe na kuhonga .

Wapi watapa elimu ya uwekezaji na fedha Kama sio vitabuni

Usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They've merged the threads maana wameona zina maudhui moja.

Nitajitahidi kufanyia kazi hilo swala.
Kuna siku tumewahi kuwa na mada inafanana na hii, nadhani alikuwa ni Don Clericuzio na Zurri kama sijakosea.

Nilimwambia nimesoma sana vitabu vya relationships, friendship na kuhudhuria semina za nyingi za mapenzi , mahusiano na urafiki hadi notebook imejaa, but I just can't put them into practice.

Tukagundua kwamba siyo kila kitu tunachokisoma lazima tukitumie katika maisha yetu, vingine tunajifunza kwa sababu ya kuwapa watu wengine ushauri.

Mfano watu wengi wanaofundisha ujasiriamali, wanategemea fee ya kuingia kama mapato yao, wengi hawana hata biashara ya karanga.

So, Fransisco ukiona unashindwa kukitumia ulichojifunza tafuta mtu umpe akitumie yeye yawezekana siyo kwa ajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…