Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Paula, PDF ya hvi vyote siwezi pata?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Great & Lesser key of Solomon- Aleyster Crowley.

2. Quaballah
3. Men are from mars & women are from Venus - John Gray

Huyu Aleyster Crowley anatambulishwa kama mwanzilishi wa dini inayomuabudu shetani(satanism).

Nilisoma kitabu chake kimoja zamani kidogo.

Something about love being the law of the will. Can’t remember very well.

Hicho Greater and Lesser Key of Solomon kina theme hiyo ya satanism?
 
Wale waliokuwa wanataka hizi series za The Secret.
 

Attachments


I have read the first two books in this series i e The Bad Beginning and The Reptile Room.

I would be obliged if you can upload the third/ last part which has evaded me so far.
 

Upo sahihi mkuu. Papillon na sequel yake, Banco vinaweza kumshawishi mtu kuwa mamlaka zote ni ovu sana na hivyo kuwa na attitude ya uasi.

Kwa uhakika usomaji wa vitabu unataka umakini na busara pia ili kuepuka ‘equating knowledge to wisdom’

Lakini pia ni hadithi tamu sana.

Kuanzia kwenye kesi ya mauaji ya kusingiziwa, gereza la rumande kule Ufaransa, safari ya kwenda magereza ya visiwani-Iles du Salut, adventure za kutoroka na maisha gerezani, kifungo cha upweke(solitary confinement), maisha na wahindi wekundu, mpaka kutoroka kwa mafanikio kutoka Devil’s Island ni mkasa wenye kuvutia sana.
 
Karibu sana.
Hiki kitabu kinafundishwa shuleni? Kimefanana na vitabu kama vya I.M.Pandey.
Cjajua mi sjasoma finance,najisomea tu kuongeza maaraifa napenda vitabu vya business na stocks ndo Kuna mtu aliniambia nikitafute icho ndo nkaomba huku.huyo mwandishi I M pandey anaandika vitabu vya business?Kama una vitabu vyake naomba utume Basi nivicheck Kama hautojal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona kama haujasoma Finance hiko kitabu ni kizito sana? Au umesoma uchumi? Kama unakielewa basi wewe ni genius.

Vitabu vya Pandey nadhani vinauzwa hakipatikani free.
 
DO MORALS MATTER ? : PRESIDENTS AND FOREIGN POLICY FROM FDR TO TRUMP by Professor Joseph Nye
 
Good Muslim, Bad Muslim: America, the Cold War and the roots of terror by Mahmood Mamdani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…