Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
ntakutumia vyote download app ya lithium kwenye simu yako nakutumia in epub formBoss,
The Brothers of Auschwitz - Malka Adler
Last Stop Auschwitz - Eddy de Wind
Diana - Andrew Morton
Tell Nobody - Patricia Gibney
kama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia
ofa ni ya masaa matatu toka sasa
Mkulima wa mahindi
Here,
Naona kwa TZS ni hiyo.
Ni Softcopy maana utakisomea kwenye hiyo.View attachment 1456150
Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).Shukran sana mkuu.
Ubarikiwe
Have you read the book Nownmai?As The Crow Flies is another sweet yarn by Jeffrey Archer.
Good for you.Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).
Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8 iliyopita. Jaribu pia kuangalia online sellers unaweza kupata latest kwa bei Nzuri tu.View attachment 1456344
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina noma mkuu.Kindle ziko vizuri sana, japo niliyonayo mimi ni Toleo la nyuma kidogo ila imeniongezea sana usomaji ukilinganisha na kusomea kwenye simu yenye apps nyingine nyingi (distractions).
Nilibahatika kununua kwa mtu online kupitia Facebook kwa 120,000 tu alikuwa Ametoka nazo nje ya nchi kama Miezi 8 iliyopita. Jaribu pia kuangalia online sellers unaweza kupata latest kwa bei Nzuri tu.View attachment 1456344
Sent using Jamii Forums mobile app
masaa matatu yashapita nmepata vya bidada hapo juu namtumia 😅The Keys, cha DJ Khaled.
Asante.
masaa matatu yashapita nmepata vya bidada hapo juu namtumia 😅
Na mimi nlpata ofa ya boss huku
Kuichoka bado sana mkuu. Cheki na hii link hapa amazon kindle bookstore Arusha 2659674 | Kupatana kuna jamaa alipost tangazo siku kadhaa nyuma anauza naona anazo tatu, unaweza kubahatikaHaina noma mkuu.
Ukiichoka niuzie wakati bado natafuta
Mkuu ubarikiwe sana aisee.Kuichoka bado sana mkuu. Cheki na hii link hapa amazon kindle bookstore Arusha 2659674 | Kupatana kuna jamaa alipost tangazo siku kadhaa nyuma anauza naona anazo tatu, unaweza kubahatika
Kuichoka bado sana mkuu. Cheki na hii link hapa amazon kindle bookstore Arusha 2659674 | Kupatana kuna jamaa alipost tangazo siku kadhaa nyuma anauza naona anazo tatu, unaweza kubahatika
Fast learnerYaani umalize leo kusoma na tayari kimebadilisha maisha?
Nilikuwa niko sekondari.Umenipeleka mbali sana. Thank you.
Umevisoma ukiwa na umri gani Gibborim?
Mkuu ubarikiwe sana aisee.
Kwa kawaida chaji ni siku ngapi ?
Je naweza kufanyia kazi zingine kama vile kusoma youtube na kwenye websites zingine ?
Au ni kazi yake vitabu tuu hakuna jambo lingine ?
Na nadownload vipi vitabu,ama inakaa line ambayo itawezesha kupata MBS?
Kwa Kuwa matumizi pekee ni kusoma vitabu charge unadumu nayo hata wiki nzima hadi wiki 2.Kuna mdau kanipigia simu kaniambia kuna mtu anauza kwa 90000 vipi bei hii sio upigwaji mkuu ?
Chaji nimeambiwa siku nne aisee..Kwa Kuwa matumizi pekee ni kusoma vitabu charge unadumu nayo hata wiki nzima hadi wiki 2.
Kwa hii yangu ni vitabu tu ila latest editions nadhani zinatumia android OS na unaweza kuweka hata apps nyingine ukatumia kama tablet ya kawaida japo sina uhakika kama zina uwezo wa kuingiza SIM cards kwa kuwa halikuwa lengo lake tangu mwanzo.
Tafadhali pitia website ya Amazon upande wao wa product utaona features za latest kindle.
Kwa bei hiyo nadhani ni sawa, muhimu uikague uridhike maana used items unaweza kuja kugundua tatizo baada ya kuilipia na muuzaji kuondoka ikawa ni hasara kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app