Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Chaji nimeambiwa siku nne aisee..

Yawezekana berti yake tayari haiko imara kama inapokuwa ikiwa mpya lakini pia electronic devices ni matumizi kama ilivyo kwa simu ya mkononi.
Yawezekana nilibahatika kununua ambayo bado iko vizuri upande wa betri kwa sababu naitumia kwa wiki nzima na zaidi.
Tembelea wesite yao tafadhali utaona ninachokisema kama inavyoonekana picha hapo
 

Attachments

  • Capture.JPG
    31.9 KB · Views: 10
Chaji nimeambiwa siku nne aisee..
I think it depends on how often you read on your Kindle, brightness na pia aina ya Kindle.

Bila shaka kuna Kindle paperwhite na Kindle Amazon. Kwahiyo ni kuangalia unasoma masaa mangapi kwa siku. Kuna mtu anasoma lisaa limoja, paperwhite..,hapa anamaliza wiki na zaidi.
 
Asante sana madam.

Umenitoa hofu yangu..

Acha nimuagize jamaa japokuwa sina mtu wa kwenda kuikagua ila i hope ubabaishaji sio mkubwa...
 
Well, The DNA of Relationships by Gary Smalley is one of the best books i have ever read. Its more than a motivational book, its a book with principles that have been tested to be practical and true. Its a book that has really really changed my mind and still living out the principles effortlessly. I would recommend this to everyone.
 
Asante sana madam.

Umenitoa hofu yangu..

Acha nimuagize jamaa japokuwa sina mtu wa kwenda kuikagua ila i hope ubabaishaji sio mkubwa...
Ila kama amekuambia inakaa siku nne hiyo ni lugha ya biashara. Pengine kinakaa siku 2.
Labda umuulize ni siku nne ukitumia kusoma masaa mangapi kwa siku. Kama ni chini ya masaa matano, tafuta nyingine.

Kwa kuuza asingepaswa atamke chini ya Wiki.
 
Ila kama amekuambia inakaa siku nne hiyo ni lugha ya biashara. Pengine kinakaa siku 2.
Labda umuulize ni siku nne ukitumia kusoma masaa mangapi kwa siku. Kama ni chini ya masaa matano, tafuta nyingine.

Kwa kuuza asingepaswa atamke chini ya Wiki.
Dah kweli mkuu...

Akisema siku nne manake ameongeza mda huyu.

Acha niachane nazo tu...

Kwani kwa hapa TZ naweza pata ?
 
Dah kweli mkuu...

Akisema siku nne manake ameongeza mda huyu.

Acha niachane nazo tu...

Kwani kwa hapa TZ naweza pata ?
Vitakuwa vinauzwa labda jaribu kwenye maduka makubwa ya vitabu (library).
 
Have you read the book Nownmai?

Yes I have Paula.

It’s a good study for those who appreciate making big money by using inherent talents without going through the rigors of formal education.

To Charlie( the protagonist), from East End( makazi ya walalahoi London) to owning a shop in West End is just a short distance- as the crow flies.

Charlie, a common soldier rise from a corporal to a brigadier without a change in his common mannerism. After the war he quickly become a highly successful businessman earning a knighthood in a tow.
He marries his childhood sweetheart, a woman whose honour was compromised by Charlie’s former commanding officer( a noble but also a craven and the worst kind of a villain).

Archer is a good yarn spinner and I have read some of his books eg Shall we Tell the President?, Cain and Abel, A Matter of Honour, Honour Among Thieves, and As The Crow Flies.
 
Sounds like a fantastic read. Thanks for the recommendation. Looking forward to reading it Nowonmai.
 
If bookworms naombeni kitabu cha Michelle Obama cha how to become Michelle Obama natanguliza shukrani...[emoji120]

i am better here
 
Unaviuza? Mbona tangazo lako halijajitosheleza Kelvin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…