Kaka_Inno
Member
- Apr 29, 2013
- 44
- 64
Chaji nimeambiwa siku nne aisee..
Yawezekana berti yake tayari haiko imara kama inapokuwa ikiwa mpya lakini pia electronic devices ni matumizi kama ilivyo kwa simu ya mkononi.
Yawezekana nilibahatika kununua ambayo bado iko vizuri upande wa betri kwa sababu naitumia kwa wiki nzima na zaidi.
Tembelea wesite yao tafadhali utaona ninachokisema kama inavyoonekana picha hapo