Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Ni kizuri ukipata muda kisome.
Wewe Baba Swalehe ni mtoto wangu kama ningefanikiwa kukuzaa.

Kizungu haukijui na wakati umekiandika hapo jamani. Unajua hadi maana ya "conspire" halafu haujui kizungu? Hauoni hili neno ni gumu sana.?
Wewe mtoto bhana unajua umri wangu kweli

Au unasoma story zangu humu unaziamini [emoji23][emoji23][emoji28]

Hicho kitabu nimekisoma muda mrefu sana
 
Wewe mtoto bhana unajua umri wangu kweli

Au unasoma story zangu humu unaziamini [emoji23][emoji23][emoji28]

Hicho kitabu nimekisoma muda mrefu sana
Unaona sasa, umekisoma halafu ukaniambia haujakisoma.
Nadhani hii ni kama mara ya pili nakuona kwenye comments.
Nimekariri hiyo picha ya kwenye account yako.
Kwahiyo nikisema ni kwa kusoma story zako nitakuwa nasema uongo. Ila umenikumbusha ngoja nikakusome.

Kwani wewe umetumia kigezo gani kuniita mdogo wako?
 
Kile umekimaliza Hon? Au umesikia pussy unatamani uache kile[emoji4][emoji4][emoji4](kidding ).
Ngoja nikutafutie PDF.
Kile ntakimalizia tu ngoja nianze na hiki cha pussy kwanza hili nisije kuwa mjinga kisa pussy [emoji250] [emoji250]
 
Hatimae kwa haraka haraka nimepitia comments zote. Naweza kusema huu ni uzi bora kwangu tangu huu mwaka uanze.
Pongezi nyingi sana ziende kwa mwanzilishi wa hii mada.

Mimi sitaandika kuhusu vitabu ila nitasema niliyojifunza kupitia maoni mbali mbali ya wadau /washiriki katika huu uzi.
Kupitia comments jimejifunza mambo mengi kuhusu vitabu na waandishi wa vitabu na kujua mambo mengi ambayo sikuwahi kujua kama yapo.

1.Nimejua mambo mengi sana kuhusu Nyerere ambayo nilikuwa siyajui.

2. Nimegundua kwamba Tanzania hatupati haki ya kuwa "British Knighthood" kwa sababu Tanzania tulijenga jamii ya watu sawa isiyo na matabaka na hii ndio sababu Nyerere Alipiga marufuku Uchifu.

3.Nimegundua kumbe mwandishi wa rich dad poor dad hakuwa tajiri kabla ya kuandika hiki kitabu kama alivyotuaminisha na kampuni yake ilifilisika.

4.Nimegundua kwamba mwandishi wa The Road Ahead ambaye ni Bill Gates aliweza kutabiri mambo ya, PayPal (internet based currency, software nk 1995, na mpaka sasa utabiri umetimia.

5.Mimi ni Mkristo sikuwahi kujua mambo ya 'beloved disciple'. Na nimegundua pia kuna historia zinasema huyo beloved disciple alikuwa ni mwanamke.
Na nimegundua pia historia zimewahi kujaribu kumhusisha Christ na mambo ya ugay.

6. Mwisho kabisa nimegundua Jf kuna watu smart sana. Kuna watu wana madini ya kutosha hawapati tuu Uzi wa kutoa hayo madini yao.

Na hapo katikati palikuwa na mada chokozi ya Atheism ambayo nilitamani iendelee nijifunze pia ila wachangiaji wa pande mbili zote walikuwa na hasira kupelekea kuogopa kubadili mwelekeo wa mada.

Pongezi zangu za dhati ziende kwa Mjuni Lwambo Kiranga Khan , Paula Paul , Nowonmai na wengine kwa mijadala na uchambuzi mliokuwa mnaufanya.
Bado naendelea kujifunza.

PS. Haimaanishi nimeamini yote, ila nimegundua kwamba kuna ideas kama hizo zina exist.
I am humbled for your complement, Namvizia Paula Paul tujadili pointi namba tatu.
 
Usinichukulie serious sana

Sawa... Umenielewa ??
Unaona sasa, umekisoma halafu ukaniambia haujakisoma.
Nadhani hii ni kama mara ya pili nakuona kwenye comments.
Nimekariri hiyo picha ya kwenye account yako.
Kwahiyo nikisema ni kwa kusoma story zako nitakuwa nasema uongo. Ila umenikumbusha ngoja nikakusome.

Kwani wewe umetumia kigezo gani kuniita mdogo wako?
 
Hakuna shida mkuu

Wengine ndo tulianza kuitumia hii Jf toka siku inafunguliwa... Tukaifanyia na testing mkuu wangu

Ntupie kitabu hapo... Chochote nkisome mkuu
Kumbe ni muasisi kabisa. Hongera sana.

Unapenda vitabu vya namna gani? Ili niweze kukuchagulia.
 
Nakusubiria kwa hamu sana.
Paula, rejea komenti yako namba 565, ninataka tuijadili hoja moja baada ya nyingine..

Unasema 'they take everything ... as if it can work for everyone an as if it is the only book out there, nini hicho au principle gani wanayodhani it can work for everyone na unamaanisha nini kwamba it is not the only book out there?
 
Back
Top Bottom