Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #741
I appreciate this🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I appreciate this🙏
Wewe mtoto bhana unajua umri wangu kweliNi kizuri ukipata muda kisome.
Wewe Baba Swalehe ni mtoto wangu kama ningefanikiwa kukuzaa.
Kizungu haukijui na wakati umekiandika hapo jamani. Unajua hadi maana ya "conspire" halafu haujui kizungu? Hauoni hili neno ni gumu sana.?
Unaona sasa, umekisoma halafu ukaniambia haujakisoma.Wewe mtoto bhana unajua umri wangu kweli
Au unasoma story zangu humu unaziamini [emoji23][emoji23][emoji28]
Hicho kitabu nimekisoma muda mrefu sana
Kile ntakimalizia tu ngoja nianze na hiki cha pussy kwanza hili nisije kuwa mjinga kisa pussy [emoji250] [emoji250]Kile umekimaliza Hon? Au umesikia pussy unatamani uache kile[emoji4][emoji4][emoji4](kidding ).
Ngoja nikutafutie PDF.
Comment namba 745 kimewekwa PDF yake. Kweli kisome usiwe mjinga kisa nyau😊😊.Kile ntakimalizia tu ngoja nianze na hiki cha pussy kwanza hili nisije kuwa mjinga kisa pussy [emoji250] [emoji250]
Mkuu, kwa nini uanze na hicho cha Pussy there is alot of books ambavyo vitakupa maarifa makubwa My recommendations anza na WHO WILL CRY WHEN YOU DIE BY ROBIN SHARMAPaula Paul nimeanza kusoma vitabu siku hizi kupitia ww embu nipe hiki cha Pussy
I am humbled for your complement, Namvizia Paula Paul tujadili pointi namba tatu.Hatimae kwa haraka haraka nimepitia comments zote. Naweza kusema huu ni uzi bora kwangu tangu huu mwaka uanze.
Pongezi nyingi sana ziende kwa mwanzilishi wa hii mada.
Mimi sitaandika kuhusu vitabu ila nitasema niliyojifunza kupitia maoni mbali mbali ya wadau /washiriki katika huu uzi.
Kupitia comments jimejifunza mambo mengi kuhusu vitabu na waandishi wa vitabu na kujua mambo mengi ambayo sikuwahi kujua kama yapo.
1.Nimejua mambo mengi sana kuhusu Nyerere ambayo nilikuwa siyajui.
2. Nimegundua kwamba Tanzania hatupati haki ya kuwa "British Knighthood" kwa sababu Tanzania tulijenga jamii ya watu sawa isiyo na matabaka na hii ndio sababu Nyerere Alipiga marufuku Uchifu.
3.Nimegundua kumbe mwandishi wa rich dad poor dad hakuwa tajiri kabla ya kuandika hiki kitabu kama alivyotuaminisha na kampuni yake ilifilisika.
4.Nimegundua kwamba mwandishi wa The Road Ahead ambaye ni Bill Gates aliweza kutabiri mambo ya, PayPal (internet based currency, software nk 1995, na mpaka sasa utabiri umetimia.
5.Mimi ni Mkristo sikuwahi kujua mambo ya 'beloved disciple'. Na nimegundua pia kuna historia zinasema huyo beloved disciple alikuwa ni mwanamke.
Na nimegundua pia historia zimewahi kujaribu kumhusisha Christ na mambo ya ugay.
6. Mwisho kabisa nimegundua Jf kuna watu smart sana. Kuna watu wana madini ya kutosha hawapati tuu Uzi wa kutoa hayo madini yao.
Na hapo katikati palikuwa na mada chokozi ya Atheism ambayo nilitamani iendelee nijifunze pia ila wachangiaji wa pande mbili zote walikuwa na hasira kupelekea kuogopa kubadili mwelekeo wa mada.
Pongezi zangu za dhati ziende kwa Mjuni Lwambo Kiranga Khan , Paula Paul , Nowonmai na wengine kwa mijadala na uchambuzi mliokuwa mnaufanya.
Bado naendelea kujifunza.
PS. Haimaanishi nimeamini yote, ila nimegundua kwamba kuna ideas kama hizo zina exist.
Hicho mkuu tayari ndo nakimalizia malizia ndo nilicho anza nachoMkuu, kwa nini uanze na hicho cha Pussy there is alot of books ambavyo vitakupa maarifa makubwa My recommendations anza na WHO WILL CRY WHEN YOU DIE BY ROBIN SHARMA
Ndo maana nakupenda [emoji3][emoji3]Comment namba 745 kimewekwa PDF yake. Kweli kisome usiwe mjinga kisa nyau[emoji4][emoji4].
Unaona sasa, umekisoma halafu ukaniambia haujakisoma.
Nadhani hii ni kama mara ya pili nakuona kwenye comments.
Nimekariri hiyo picha ya kwenye account yako.
Kwahiyo nikisema ni kwa kusoma story zako nitakuwa nasema uongo. Ila umenikumbusha ngoja nikakusome.
Kwani wewe umetumia kigezo gani kuniita mdogo wako?
Nakusubiria kwa hamu sana.I am humbled for your complement, Namvizia Paula Paul tujadili pointi namba tatu.
Wow, nimefurahije kusikia hivo.Ndo maana nakupenda [emoji3][emoji3]
Nimeelewa Baba swalehe.Usinichukulie serious sana
Sawa... Umenielewa ??
Hakuna shida mkuuNimeelewa Baba swalehe.
Kumbe ni muasisi kabisa. Hongera sana.Hakuna shida mkuu
Wengine ndo tulianza kuitumia hii Jf toka siku inafunguliwa... Tukaifanyia na testing mkuu wangu
Ntupie kitabu hapo... Chochote nkisome mkuu
Kumbe ni muasisi kabisa. Hongera sana.
Unapenda vitabu vya namna gani? Ili niweze kukuchagulia.
Paula, rejea komenti yako namba 565, ninataka tuijadili hoja moja baada ya nyingine..Nakusubiria kwa hamu sana.
Vya hamasa vipoje na practical vipoje?huu uzi wetu wengi tunapenda kusoma vitabu vya ''hamasa zaidi'' sio 'practical''