MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Huyu ndiyo Kiranga, fundi mwenyewe.Hahaha, wewe jamaa wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiyo Kiranga, fundi mwenyewe.Hahaha, wewe jamaa wewe.
Huyu ndiyo Kiranga, fundi mwenyewe.
Kwasababu unaji-underestimate ndio maana haufiki hata robo Don. Ila mimi nauona uwezo ndani yako.He has always been an inspirational to me, for over 10 years. Lakini sidhani kama nimefika hata 7% ya standards za huyu jamaa.
Hahaha, Kiranga is exceptional.Sema nini, hata wewe kuna maeneo yako mimi binafsi huwa natamani sana nikufikie.He has always been an inspirational to me, for over 10 years. Lakini sidhani kama nimefika hata 7% ya standards za huyu jamaa.
You are far too kind.Unatisha bro.
Sina maneno ninayoweza kuandika yakabeba maana halisi ya sifa unazostahili.
Kaka wewe unawaza kuandika kitabu miaka miwili mbele, mimi nilikuwa nasoma kitabu cha huu ugonjwa kwa maelezo ya namna yake wiki iliyopita.Love in the time of Corona: title ya kitabu changu miaka miwili mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu unaji-underestimate ndio maana haufiki hata robo Don. Ila mimi nauona uwezo ndani yako.
Ukijiamini tutapata wakina -Kiranga wa kutosha.
Hahaha, Kiranga is exceptional.Sema nini, hata wewe kuna maeneo yako mimi binafsi huwa natamani sana nikufikie.
Hahaha Kiranga ni fundi sana. Vipi lakini, habari za masiku...!!!Aisee, sawa mkuu.
Kuna mwalimu wangu wa std 5 alikuwa ananiamini sana, mimi nilikuwa nachagua masomo machache ya kufanya vizuri mengine naachana nayo. Alikuwa ananimaindi kichizi, akaanza kunifatilia sana.
Alikuwa na statement ya "You should know something in anything". Kiranga knows everything in anything.
Zurri vipi wewe unaamini katika kusoma Logic na Falsafa ?2. Knowledge and Its Excellence
3. Knowledge
4. RELIEVING THE PEOPLE OF
UNDERSTANDING
FROM THE CORRUPTIONS, HARMS
AND BURDENS
OF DEMOCRATIC ELECTIONS
..........
Hahaha Kiranga ni fundi sana. Vipi lakini, habari za masiku...!!!
Poa poa mkuu, kila la kheri na Mungu akulinde.It's all good, busy and happy period.
Mungu analinda.
Poa poa mkuu, kila la kheri na Mungu akulinde.
Zurri vipi wewe unaamini katika kusoma Logic na Falsafa ?
Cheers Mate...Yaani imebidi nirudi kuangalia posts za nyuma ili nijue nachat na nani.
Aisee, unaweza kubishana na kocha wako hivi hivi.
Cheers Mate...
✌✌✌✌✌
Hahaha, not a spinoff of "Love In The Time of Cholera" by any chance?
Hicho fanya haraka, usije kukuta mtu kashachukua jina hilo, hata mimi nilishalifikiria.
Ushawahi kumsikia Abu Yusuf Al-Kindi wa Baghdad ??? Alikuwa ni msomi mkubwa (A Polymath) aliyesaidia kuimarisha dola la Kiislamu (The Caliphate) mnamo karne ya tisa.Kwangu mimi haifai kusoma elimu hizo, japo niliwahi kuzisoma zote mbili, lakini nikaona hazinufaishi zaidi ya kunifanya nifikirie kama walivyofikiria wale walio weka misingi ile. Yaani kutuwekea mipaka midogo sana ya kufikiri, yaani mtu unakuwa huwezi kufikiri nje ya walivyofikiri kina Aristosto, Anaksimanda, Anaksimenes, Zeno, Pythagoras, Plato, Socrates na wengine wanafalsafa wa kale wa Magharibi.
Tafuta kitabu hiki :
THE STATEMENTS OF
THE IMAAMS
ON THEOLOGICAL RHETORIC
AND PHILOSOPHY