Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

(فيروس كورونا) VIRUSI VYA CORONA

kitabu kipya, nimejifunza mengi mno.
 
Kwasababu unaji-underestimate ndio maana haufiki hata robo Don. Ila mimi nauona uwezo ndani yako.
Ukijiamini tutapata wakina -Kiranga wa kutosha.

Hahaha, nakuelewa.

Shida yangu huwa kuna level nikifika naona kama inatosha, kuna kipindi nilikuwa na watu wanaotegemea analysis zangu kwenye vitu tofauti tofauti, nilikuwa vizuri.

Siku hizi nakuwa sitaki kutumia akili sana, kwa hiyo nakaa kwenye lines chache sana, ila sasa nimejikuta inalimit potential yangu. Hata napofanya presentations najikuta siko diversified.

At least baada ya hii thread kuna jinsi ilifanya kama kuniamsha. I told you this if you remember.
 
Hahaha, Kiranga is exceptional.Sema nini, hata wewe kuna maeneo yako mimi binafsi huwa natamani sana nikufikie.

Aisee, sawa mkuu.

Kuna mwalimu wangu wa std 5 alikuwa ananiamini sana, mimi nilikuwa nachagua masomo machache ya kufanya vizuri mengine naachana nayo. Alikuwa ananimaindi kichizi, akaanza kunifatilia sana.

Alikuwa na statement ya "You should know something in anything". Kiranga knows everything in anything.
 
2. Knowledge and Its Excellence
3. Knowledge
4. RELIEVING THE PEOPLE OF
UNDERSTANDING
FROM THE CORRUPTIONS, HARMS
AND BURDENS
OF DEMOCRATIC ELECTIONS

..........
 
Aisee, sawa mkuu.

Kuna mwalimu wangu wa std 5 alikuwa ananiamini sana, mimi nilikuwa nachagua masomo machache ya kufanya vizuri mengine naachana nayo. Alikuwa ananimaindi kichizi, akaanza kunifatilia sana.

Alikuwa na statement ya "You should know something in anything". Kiranga knows everything in anything.
Hahaha Kiranga ni fundi sana. Vipi lakini, habari za masiku...!!!
 
2. Knowledge and Its Excellence
3. Knowledge
4. RELIEVING THE PEOPLE OF
UNDERSTANDING
FROM THE CORRUPTIONS, HARMS
AND BURDENS
OF DEMOCRATIC ELECTIONS

..........
Zurri vipi wewe unaamini katika kusoma Logic na Falsafa ?
 
Zurri vipi wewe unaamini katika kusoma Logic na Falsafa ?

Kwangu mimi haifai kusoma elimu hizo, japo niliwahi kuzisoma zote mbili, lakini nikaona hazinufaishi zaidi ya kunifanya nifikirie kama walivyofikiria wale walio weka misingi ile. Yaani kutuwekea mipaka midogo sana ya kufikiri, yaani mtu unakuwa huwezi kufikiri nje ya walivyofikiri kina Aristosto, Anaksimanda, Anaksimenes, Zeno, Pythagoras, Plato, Socrates na wengineo katika wanafalsafa wa kale wa Magharibi.

Tafuta kitabu hiki :

THE STATEMENTS OF
THE IMAAMS
ON THEOLOGICAL RHETORIC
AND PHILOSOPHY

Ahsante.
 
Hahaha, not a spinoff of "Love In The Time of Cholera" by any chance?

Hicho fanya haraka, usije kukuta mtu kashachukua jina hilo, hata mimi nilishalifikiria.

Hahaha. Hii ni spinoff ya Love in the time of Cholera.
Nilimsoma Gabriel Marquez na kitabu chake cha death foretold. He is a great story teller.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi haifai kusoma elimu hizo, japo niliwahi kuzisoma zote mbili, lakini nikaona hazinufaishi zaidi ya kunifanya nifikirie kama walivyofikiria wale walio weka misingi ile. Yaani kutuwekea mipaka midogo sana ya kufikiri, yaani mtu unakuwa huwezi kufikiri nje ya walivyofikiri kina Aristosto, Anaksimanda, Anaksimenes, Zeno, Pythagoras, Plato, Socrates na wengine wanafalsafa wa kale wa Magharibi.

Tafuta kitabu hiki :

THE STATEMENTS OF
THE IMAAMS
ON THEOLOGICAL RHETORIC
AND PHILOSOPHY
Ushawahi kumsikia Abu Yusuf Al-Kindi wa Baghdad ??? Alikuwa ni msomi mkubwa (A Polymath) aliyesaidia kuimarisha dola la Kiislamu (The Caliphate) mnamo karne ya tisa.

Yeye alisoma vyote hivi na mpaka leo hii anasifikia kwa mchango wake mkubwa kwenye taaluma ya ujasusi hasa kwa kuanzisha vitu kama Cryptography, Coding and Code Breaking na Ciphers.

Kiujumla alisomea Falsafa ya Kiislamu na Falsafa ya Kigiriki hasahasa Aristotelianism. Leo hii huwezi kusoma chuo chochote kikubwa cha jeshi au ujasusi bila kumsoma huyu jamaa maana kabla hata Wajerumani hawajaja na Enigma Code zao yeye alikuwa ashagundua taaluma hii miaka zaidi ya 500 nyuma.

Al-Kindi aliweza kuwa Polymath kwa kusoma Falsafa zote za dunia hii hadi kuweza kulisaidia dola la Kiislamu kuwa na nguvu miaka hiyo, kwanini Waislamu wengi wa kizazi hiki wanakuwa wanapinga sana elimu za Magharibi hasa zile za Ugiriki ya kale wakati waislamu wengi wa kipindi hicho walizisoma sana ??
 
Back
Top Bottom