Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,234
- 1,815
My current reading
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi ndiyo unakisoma kwa sasa? Au vyote?My current reading
View attachment 1464785
Electronic library. Download books free. Finding booksMwenye ako na kitabu cha Emotional Intelligence by Daniel Goleman in pdf format please nakiomba. Natanguliza shukrani zangu za dhati.!!
Asante sana mkuuu.Ukisoma vitabu utapata ujuzi wa fani ambazo hata haujazisomea. Wewe soma tuu utajionea.
Hongera sana Safuher.
Umetumia muda kumaliza hiki kitabu cha kurasa 206 ?Asante sana mkuuu.
Hii the magic nataka niifantie mazoezi kama alivyoshauri yeye mwenyewe,nataka kuimprove zaidi ya vile nilivyo.
Nimejifunza mengi sana,juzi neangalia kitabu cha "the way of the peaceful warrior" nikaona kikubwa sana,kurasa nyingi sana,dah nikasema ntakimaliza kwwli hiki ?
Sasa cha ajabu eti the secreet kina kurasa kama 206 hivi na nimekimaliza,nikasema huu mtabu unatishia kweli,natishika na hardcopy bora nisomee kwenye simu teheheheh
Mkuu hiki kitabu nilikuwa nikipata hamu ndo nakisoma.Umetumia muda kumaliza hiki kitabu cha kurasa 206 ?
kinahusu nini hiki kitabu mkuu ?
Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.Mkuu hiki kitabu nilikuwa nikipata hamu ndo nakisoma.
Ila nadhani kwa mimi japokuwa nilikuwa naacha acha nimetumia kama wiki mbili hivi.
Nadhani ningetulia ningekimaliza kwa siku kama 7 tu.
Kuna hiki kingine cha the magic nimeanza kusoma juzi na jana kina kurrasaa kama mia tano hivi,siku mbili nimekula kurasa kama 90 hivi.
Kwa maana ya kuwa ndani ya siku kama 7 tu nakimaliza.
Mimi nikishika kitabu basi nakuwa nashika hasa,na nikiacha naacha hasa..
Mambo ya maumbile na chanzo cha maisha.kinahusu nini hiki kitabu mkuu ?
na hapo usomaji wangu nakuwa narudiarudia ibara ili nipate kufanya improvement kwenye lugha,bila hivyo ingekuwa balaa.Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.
Ni kizuri kukisoma ?Mambo ya maumbile na chanzo cha maisha.
Ila speed yako iko slow sana aisee,hapo kitabu cha kurasa 200 unatumia siku kama 35 hivi.jitahidi uoige japo kurasa 20 per day.Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.
Yawezekana ila pia namna ya usomaji, mimi huwa nikisoma kitabu huwa nakarori mpaka namnari ya ukurasa, kwa ufupi huwa najitahidi kuhifadhi na kuelewa, ili kufanya marejeo pia, ndio maana kuna vitabu vya sampuli fulani huwa siwezi kusoma kama hicho cha "Rich Dad.... " na mfano wake vya story za kusadikika huwa siwezi kusoma kabisa.na hapo usomaji wangu nakuwa narudiarudia ibara ili nipate kufanya improvement kwenye lugha,bila hivyo ingekuwa balaa.
Ila nimegundua kuwa kwa sababu nakipenda,kuna ile rich dad poor dad nilikisoma sikufika mbali nikaona aah michosho nikaachana nacho.ila hii nikakomaa nayo,hapa naona bado kwa sababu kuna mameno mengi nayakosa hivyo malazimika kupoteza muda kuangalia dictionary,bila ya hivyo nadhani ningekuwa namaliza kitabu cha kurasa 200 kwa siku kama nne tu.
Wewe nadhani una mambo mengi mnoo mkuu
Sasa hard copy ndio nzuri. Tatizo ni umeanza kuangalia ukubwa wa kitabu.Asante sana mkuuu.
Hii the magic nataka niifantie mazoezi kama alivyoshauri yeye mwenyewe,nataka kuimprove zaidi ya vile nilivyo.
Nimejifunza mengi sana,juzi neangalia kitabu cha "the way of the peaceful warrior" nikaona kikubwa sana,kurasa nyingi sana,dah nikasema ntakimaliza kwwli hiki ?
Sasa cha ajabu eti the secreet kina kurasa kama 206 hivi na nimekimaliza,nikasema huu mtabu unatishia kweli,natishika na hardcopy bora nisomee kwenye simu teheheheh
Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.
Nimepitia baadhi ya nukta muhimu sababu nilikisoma kama marejeo.Ni kizuri kukisoma ?
Wewe umekisoma tayari ?
Nahisi namna yangu ya usomaji,tunatofautiana sana. Mimi huwa nasoma vitabu vya marejeo, yaani kwa ajili ya "references" na kujengea hoja, kwahiyo usomaji wa vitabu hivi huwa unatakiwa usome kama unafanya "Research/Bahth" hutakiwi uache kitu,ikitokea umeacha kitu basi ni sababu binadamu hatujakamilika.Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?
(Kidding)
Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu kitabu/vitabu vya SECRET.Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?
(Kidding)