Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

My current reading
Screenshot_20200531-175053.png
 
Ukisoma vitabu utapata ujuzi wa fani ambazo hata haujazisomea. Wewe soma tuu utajionea.

Hongera sana Safuher.
Asante sana mkuuu.

Hii the magic nataka niifantie mazoezi kama alivyoshauri yeye mwenyewe,nataka kuimprove zaidi ya vile nilivyo.

Nimejifunza mengi sana,juzi neangalia kitabu cha "the way of the peaceful warrior" nikaona kikubwa sana,kurasa nyingi sana,dah nikasema ntakimaliza kwwli hiki ?

Sasa cha ajabu eti the secreet kina kurasa kama 206 hivi na nimekimaliza,nikasema huu mtabu unatishia kweli,natishika na hardcopy bora nisomee kwenye simu teheheheh
 
Umetumia muda kumaliza hiki kitabu cha kurasa 206 ?
 
Mkuu hiki kitabu nilikuwa nikipata hamu ndo nakisoma.

Ila nadhani kwa mimi japokuwa nilikuwa naacha acha nimetumia kama wiki mbili hivi.

Nadhani ningetulia ningekimaliza kwa siku kama 7 tu.

Kuna hiki kingine cha the magic nimeanza kusoma juzi na jana kina kurrasaa kama mia tano hivi,siku mbili nimekula kurasa kama 90 hivi.

Kwa maana ya kuwa ndani ya siku kama 7 tu nakimaliza.

Mimi nikishika kitabu basi nakuwa nashika hasa,na nikiacha naacha hasa..
 
Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.
 
na hapo usomaji wangu nakuwa narudiarudia ibara ili nipate kufanya improvement kwenye lugha,bila hivyo ingekuwa balaa.

Ila nimegundua kuwa kwa sababu nakipenda,kuna ile rich dad poor dad nilikisoma sikufika mbali nikaona aah michosho nikaachana nacho.ila hii nikakomaa nayo,hapa naona bado kwa sababu kuna mameno mengi nayakosa hivyo malazimika kupoteza muda kuangalia dictionary,bila ya hivyo nadhani ningekuwa namaliza kitabu cha kurasa 200 kwa siku kama nne tu.

Wewe nadhani una mambo mengi mnoo mkuu
 
Ila speed yako iko slow sana aisee,hapo kitabu cha kurasa 200 unatumia siku kama 35 hivi.jitahidi uoige japo kurasa 20 per day.

Au pengine vitabu unavyosoma viko nondo sana hivyo unahitaji kuelewaa kila ibara vozuri na kufanya tafakkuri ya kina hapo usiwe na haraka.ila kwa vitabu hivi vingine nadhani speed yako tu
 
na hapo usomaji wangu nakuwa narudiarudia ibara ili nipate kufanya improvement kwenye lugha,bila hivyo ingekuwa balaa.

Ila nimegundua kuwa kwa sababu nakipenda,kuna ile rich dad poor dad nilikisoma sikufika mbali nikaona aah michosho nikaachana nacho.ila hii nikakomaa nayo,hapa naona bado kwa sababu kuna mameno mengi nayakosa hivyo malazimika kupoteza muda kuangalia dictionary,bila ya hivyo nadhani ningekuwa namaliza kitabu cha kurasa 200 kwa siku kama nne tu.

Wewe nadhani una mambo mengi mnoo mkuu
Yawezekana ila pia namna ya usomaji, mimi huwa nikisoma kitabu huwa nakarori mpaka namnari ya ukurasa, kwa ufupi huwa najitahidi kuhifadhi na kuelewa, ili kufanya marejeo pia, ndio maana kuna vitabu vya sampuli fulani huwa siwezi kusoma kama hicho cha "Rich Dad.... " na mfano wake vya story za kusadikika huwa siwezi kusoma kabisa.
 
Asante sana mkuuu.

Hii the magic nataka niifantie mazoezi kama alivyoshauri yeye mwenyewe,nataka kuimprove zaidi ya vile nilivyo.

Nimejifunza mengi sana,juzi neangalia kitabu cha "the way of the peaceful warrior" nikaona kikubwa sana,kurasa nyingi sana,dah nikasema ntakimaliza kwwli hiki ?

Sasa cha ajabu eti the secreet kina kurasa kama 206 hivi na nimekimaliza,nikasema huu mtabu unatishia kweli,natishika na hardcopy bora nisomee kwenye simu teheheheh
Sasa hard copy ndio nzuri. Tatizo ni umeanza kuangalia ukubwa wa kitabu.
Ungetakiwa usome bila kuangalia.

Upo day ngapi leo?
 
Mimi nasoma sana vitabu, ila speed yako mzee ni balaa, mpaka najiuliza au mimi kichwa changu kibovu nini au tunatofautiana namna ya usomaji. Mimi kwa siku huwa sizidishi zaidi ya kurasa 5.
Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?
(Kidding)
 
Ni kizuri kukisoma ?
Wewe umekisoma tayari ?
Nimepitia baadhi ya nukta muhimu sababu nilikisoma kama marejeo.

Mathalani muandishi wa kitabu kuna sehemu anasema (Namba ya ukurasa nimeisahau) : ""It is sensible and prudent that people should continue to think about alternatives to the standard model [Big Bang], because the evidence is not all that abundant."
 
Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?
(Kidding)
Nahisi namna yangu ya usomaji,tunatofautiana sana. Mimi huwa nasoma vitabu vya marejeo, yaani kwa ajili ya "references" na kujengea hoja, kwahiyo usomaji wa vitabu hivi huwa unatakiwa usome kama unafanya "Research/Bahth" hutakiwi uache kitu,ikitokea umeacha kitu basi ni sababu binadamu hatujakamilika.
 
Hauwezi kuzidisha. Ubishane saa ngapi?
(Kidding)
Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu kitabu/vitabu vya SECRET.
Binafsi baada ya kuvidownload siku ile ulivyotuwekea humu nikajikuta naanza kusoma The Secret The Power alichoandika Bryne Rhonda.
Je hicho ndicho ilitakiwa nianze kusoma? Au kuna mpangilio wake special kwamba nianze vile vingine kwanza? Maana kwasasa nipo nasoma hicho cha The Power
 
Back
Top Bottom