Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kma uko na softcopy ake shusha hapa... ama jina la kitabu na author utakua umemaliza
Big Magic by Elizabeth Gilbert.Kma uko na softcopy ake shusha hapa..
ama jina la kitabu na author utakua umemaliza
Big Magic by Elizabeth Gilbert.
It's about how to embrace your creativity.
Kama wewe ni artist or writer, it worth a read.
Nailed it Setsuko 🌹Kma uko na softcopy ake shusha hapa..
ama jina la kitabu na author utakua umemaliza
Lile jina la Kijapani ulisema ni nini kweli?! Ndio mimi sasa, nilikuomba A life na Meditations vya Marcus Aurelius Antoninus, ukanipatia, Sijavisoma!!Thank you seita.
Hahah Kumbe na wewe ni mzee wa tsundokuLile jina la Kijapani ulisema ni nini kweli?! Ndio mimi sasa, nilikuomba A life na Meditations vya Marcus Aurelius Antoninus, ukanipatia, Sijavisoma!!
Ila saa hivi naomba tena kingine, ukipata THE WEALTHY GARDENER cha John Soforic itakuwa buurudani sana.
Eheee, tsundoku, noma sana.Hahah Kumbe na wewe ni mzee wa tsundoku
Hatari sana mkuu tsundoku ni tatizo la wengi. Jaribu tu hata kuanza kusoma hivyo vilivyopo kwanza na ujizuie kununua vingine kwa muda hata uvitamani vipi hadi uvimalize hivyo.Eheee, tsundoku, noma sana.
Natamani kusoma kila kitabu hadi nachanganyikiwa nianze na kipi, mwishowe nakuwa Procrastinator, nakuwa tsundoku!
Ni kweli, lakini bila kukipata Wealthy Gardener akili yangu itakuwa haijatulia..Hatari sana mkuu tsundoku ni tatizo la wengi. Jaribu tu hata kuanza kusoma hivyo vilivyopo kwanza na ujizuie kununua vingine kwa muda hata uvitamani vipi hadi uvimalize hivyo.
A Tsundoku Master.Lile jina la Kijapani ulisema ni nini kweli?! Ndio mimi sasa, nilikuomba A life na Meditations vya Marcus Aurelius Antoninus, ukanipatia, Sijavisoma!!
Ila saa hivi naomba tena kingine, ukipata THE WEALTHY GARDENER cha John Soforic itakuwa buurudani sana.
Mtu akiwa na hili tatizo ni ngumu kuacha. Akijitahidi kusoma sana ni chapter moja, anaacha anasoma kingine chapter moja. Na vitabu vikiwa vingi vinatesa sana kuchagua uanze na kipi. Kwahiyo unakuta unasoma kidogo kutafuta kipi kitakuvutia.Hatari sana mkuu tsundoku ni tatizo la wengi. Jaribu tu hata kuanza kusoma hivyo vilivyopo kwanza na ujizuie kununua vingine kwa muda hata uvitamani vipi hadi uvimalize hivyo.
Only Wealthy Gardener, NO MORE BOOKS, unaonaje hapo Paula?A Tsundoku Master.
Hapana Mjuni inabidi uvisome ndio nikupatie vingine.
Nishawishi vizuri.Only Wealthy Gardener, NO MORE BOOKS, unaonaje hapo Paula?
Nishawishi vizuri.
Ni hivi Paula, wakati ninaomba vitabu vya Marcus Aurelius nilikuwa nimeanza kusoma kitabu cha Prof, John Mbiti, AFRICAN RELIGIONS AND PHILOSOPHY, sasa hivi niko mwishoni kabisa.Nishawishi vizuri.
Sawa umenishawishi vizuri. Nitaanza kusoma na mimi mwisho wa huu mwezi tutakuja kujadili tulichojifunza , Sawa Mjuni?Ni hivi Paula, wakati ninaomba vitabu vya Marcus Aurelius nilikuwa nimeanza kusoma kitabu cha Prof, John Mbiti, AFRICAN RELIGIONS AND PHILOSOPHY, sasa hivi niko mwishoni kabisa.
Vinavyofuata ndiyo hivyo, ila kwa sababu nina interest zaidi na kitabu cha Soforic kikipatikana naanza nacho kwanza kabla ya hivyo vya Stoicism.