Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

FB_IMG_16183969146386590.jpg
 
Attachments

Lile jina la Kijapani ulisema ni nini kweli?! Ndio mimi sasa, nilikuomba A life na Meditations vya Marcus Aurelius Antoninus, ukanipatia, Sijavisoma!!

Ila saa hivi naomba tena kingine, ukipata THE WEALTHY GARDENER cha John Soforic itakuwa buurudani sana.
Hahah Kumbe na wewe ni mzee wa tsundoku
 
Eheee, tsundoku, noma sana.
Natamani kusoma kila kitabu hadi nachanganyikiwa nianze na kipi, mwishowe nakuwa Procrastinator, nakuwa tsundoku!
Hatari sana mkuu tsundoku ni tatizo la wengi. Jaribu tu hata kuanza kusoma hivyo vilivyopo kwanza na ujizuie kununua vingine kwa muda hata uvitamani vipi hadi uvimalize hivyo.
 
Lile jina la Kijapani ulisema ni nini kweli?! Ndio mimi sasa, nilikuomba A life na Meditations vya Marcus Aurelius Antoninus, ukanipatia, Sijavisoma!!

Ila saa hivi naomba tena kingine, ukipata THE WEALTHY GARDENER cha John Soforic itakuwa buurudani sana.
A Tsundoku Master.
Hapana Mjuni inabidi uvisome ndio nikupatie vingine.
 
Hatari sana mkuu tsundoku ni tatizo la wengi. Jaribu tu hata kuanza kusoma hivyo vilivyopo kwanza na ujizuie kununua vingine kwa muda hata uvitamani vipi hadi uvimalize hivyo.
Mtu akiwa na hili tatizo ni ngumu kuacha. Akijitahidi kusoma sana ni chapter moja, anaacha anasoma kingine chapter moja. Na vitabu vikiwa vingi vinatesa sana kuchagua uanze na kipi. Kwahiyo unakuta unasoma kidogo kutafuta kipi kitakuvutia.
 
Nishawishi vizuri.
Nishawishi vizuri.
Ni hivi Paula, wakati ninaomba vitabu vya Marcus Aurelius nilikuwa nimeanza kusoma kitabu cha Prof, John Mbiti, AFRICAN RELIGIONS AND PHILOSOPHY, sasa hivi niko mwishoni kabisa.

Vinavyofuata ndiyo hivyo, ila kwa sababu nina interest zaidi na kitabu cha Soforic kikipatikana naanza nacho kwanza kabla ya hivyo vya Stoicism.
 
Sawa umenishawishi vizuri. Nitaanza kusoma na mimi mwisho wa huu mwezi tutakuja kujadili tulichojifunza , Sawa Mjuni?
 
Attachments

Back
Top Bottom