bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
Ahsante kwa hii copy, ngoja nianze kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye PDFs za vitabu vya R. R. Martin vile walivyotumia Game of Thrones na House of The Dragon msaada.
The boy!The Alchemist by Paul Coelho umewahi kukisoma? Ni kitabu kizuri sana, kirahisi pia kwa lugha na ukimaliza kukisoma hautojutia muda wako.
Enjoy mkuu
mkuu hii sio asili,nimechunguza sana hii kitu wala haihusiani na asili,hii kitu tumekuwa programmed nayo tokea utotoni kwetu.yaani ukiwa na hela kwenye Mpesa, inakuwasha kuitumia, ukiwa na laki hutulii—ni ASILI.
Lengo la saving sio kutengeneza utajiri moja kwa moja.Savings ni mwanzo wa kuelekea kwenye utajiri. Kadiri unavyoweka akiba, ndivyo utakavyohamasika kutafuta hela nyingi zaidi. Na siyo ajabu, akiba uliyoiweka inaweza kutumika kuanzishia mradi utakaokuja kukuingizia kipato kikubwa sana cha kukufanya kuwa tajiri.
Anza kuweka akiba, hata kama ni sh 20,000/= tu kwan mwezi. Muhimu, hakikisha huitumii kwa matumizi ya kawaida isipokuwa ya kukuongezea kipato.
Vitabu tunavosoma mkuu😂😂Haya maneno ya hivi mnayapatiaga wapi mzee baba?
Kweli Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai,..( kwikwikwi 🤭🤭)I am grateful that you are back, I had planned to tell you how I and my heart feel about by the time you left. I never thought you will be back again, now you are here like you never left. It was one hell of the wait.
So, I am putting myself smart before I do an approach, collecting all beautiful lines there are to tell.
You can develop it.It's quite interesting seeing how people enjoy their reading hobbies. Wish to have that book-reading enthusiasm in me.
Try you won’t regretIt's quite interesting seeing how people enjoy their reading hobbies. Wish to have that book-reading enthusiasm in me.