Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,629
Reaction score
3,015
IMG-20250628-WA0001(1).jpg

==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku maana yake wanafunzi walikosa baadhi ya mahitaji yao muhimu ya siku.

Miaka Mitano baadaye Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale ya TZS7,500 na TZS8,000,

Kwanini tunasema tunatiki ifikapo Oct 25 Kwa Rais Samia?

Pamoja na kwamba Wanufaika wapya Wameongezeka na kufikia 160,402 lakini Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000 sawa na Ongezeko la TZS2,500 kila siku.

Na hii ndio tofauti ya Rais Samia na wengine.

# NDIO MAANA WANAVYUO OCT 25 TUNATIKI✓
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
20250612_190153.jpg
 
Boom sio msaada, Sio pesa anazopewa bure, kama zile wanazopewa wasaniii.

Boom ni mkopo🤣, utaurejesha. Hata huo mkopo wenyewe unaingia kwa wakati. Unajua why vitoto vya chuo vinajiuza?? Kuna tarehe zikifika, boda boda wanajibebea tu.
 
Umewahi ona dame wenye ny*ge baada ya kuliwa hua anakua sasa ndo hii post.
 
Boom sio msaada, Sio pesa anazopewa bure, kama zile wanazopewa wasaniii.

Boom ni mkopo🤣, utaurejesha. Hata huo mkopo wenyewe unaingia kwa wakati. Unajua why vitoto vya chuo vinajiuza?? Kuna tarehe zikifika, boda boda wanajibebea tu.
Ndio hata kama ni mkopo lakini umeongezeka ndio maana tunasababu ya kutiki Kwa Mama Samia
 
Boom sio msaada, Sio pesa anazopewa bure, kama zile wanazopewa wasaniii.

Boom ni mkopo🤣, utaurejesha. Hata huo mkopo wenyewe unaingia kwa wakati. Unajua why vitoto vya chuo vinajiuza?? Kuna tarehe zikifika, boda boda wanajibebea tu.
Nakazia
 
Kuna maisha baada ya boom na kutiki vp Ajira utakuwa nayo au unatumika Kwa muda
 
Binafsi kura yangu nabaki nayo hata km atashinda tunataka ashinde kwa kura mil 3 kwa nchi yenye watu mil 60 plus halafu tuone km nchi dinners wetu atapeleka shungi zake kuomba mikopo
 
this is inflation??

hizi pesa zinatoka wapi?? na wa lipa kodi ni wachache?? extensive government spending sio kitu kizuri. ni kama nchi inaongozwa na vibes na sio akili.

who is funding this? na pesa imetoka wapi ??
 
Boom sio msaada, Sio pesa anazopewa bure, kama zile wanazopewa wasaniii.

Boom ni mkopo🤣, utaurejesha. Hata huo mkopo wenyewe unaingia kwa wakati. Unajua why vitoto vya chuo vinajiuza?? Kuna tarehe zikifika, boda boda wanajibebea tu.
Mwambie ni mkopo unaolipwa na riba kabisa.
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
TUNATIKI SAMIA
 
Nenda katiki wewe. Mtaji wa tapeli ni wajinga kama wewe. Na Silaha kubwa ya mjinga ni kujipendekeza
 
Back
Top Bottom