Hivi watanzania, hizi akili za kipumbavu zilitoka wapi?. Mtu msomi ambaye taifa linakutegemea, na wewe una shadadia, eti mama kaongezq boom kutoka 8000 to 10,000. Hivi akili zako zinajitosheleza wewe, una uhakika uchumi wa 2015 na 2025, uchumo unafanana, inamaana wewe huelewi economy gap kila mwaka linazidi kukua, kwahiyo mtu kama kauza mbaazi kilo moja sh.200 mwaka 2000, alafu mwaka 2025 kauza kilo kwa 3000, utasema mama ana upiga mwingi.
Ebu acha usenge wewe, wanafunzi maisha ni magumu sana alafu nyie wapumbavu mnazusha uongo uongo, watu mikopo wanapeana kwa kujuana tu alafu watu nyie mnanipa hasira sana, natamani watu kama nyie mfe tu mapema, maana mnatuletea nuksi tu duniani hapa
We hujui bodi ya mkopo kigezo mojawapo Cha kupata mkopo, uwe hauna mzazi,Yani yatima, uwe mlemavu au mzazi awe mlemavu, uwe umetoka kwenye kaya maskini na uwe upo kwenye mpango wa familia maskini yaani TASAF,
Kisa huna mzazi mmoja,ndo mtu upewe mkopo, haya wengine wamefiwa na baba zao na maisha Yao ni mazuri tu, mfano, watoto wa ndugai,Leo hii kigezo Cha kuomba mkopo wanacho kwasababu hawana baba, alafu Kuna sisi wengine tuko na wazazi wetu wa nanjilinji huko, walima uwele, hawana chochote, Leo hii Sina kigezo Cha kupata mikopo, alafu nyie mnaropoka tu, mama mama mama Mama mama mama mama mama mama mama mama mama mama, aiseee napata hasira Kali sana na hizi mbwa