MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Hongereni sana kwa kuongezewa boom,
Mwaka 2002 hadi 2004 boom kama sijakosea ilikua shilingi elfu 2500.00 kwa siku ukitoa pesa ya chumba, Mwaka 2004 na kuendelea boom lilipanda kutoka 2500.00 hadi 5,000.00 kwa siku. Maana yake baada ya miaka 21 kupita ndio imepanda na kufikia shilingi elfu 10. Tupo nje ya muda japo wale jamaa nao ukiwapa pesa nyingi inakua ni tatizo, kutwa watakua washinda kula bata pale kitambaa cheupe, ibakie hiyo hiyo