Boom ni TZS10,000 kwa siku, na siyo TZS8,000

Hio 10,000tsh inakupa kilo ngapi za sembe leo, na hio 7,500tsh ilikua inakupa kilo ngapi za sembe mwaka 2015?? Usitumie kichwa kama mfuko wa kuwekea shingo
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
Halafu wakimaliza vyuo wanaishia wapi, au na veta pia kuna boom.
No Reforms, No Elections.
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
NO REFORM NO ELECTION
 
Watu waligoma, walipigwa na kufukuzwa Chuo, wengine walipoteza chuo kabisa kisa wanaongea sana na kuongoza migomo, wengine lin,miaka ya 2009, 2010 na 2011.

Migomo hiyo yote walipigania bum lifke 10,000 na loan board itoe mikopo 100% kwa wanafunzi.

Ilitoa 100% kwa wanafunzi wengi intake ya 2009 na bum likapanda kua 7500, kutoka 5000 mwaka 2013.

Kiufupu, matunda unayoyaona saiz, watu waliumia kwa kuyapigania.
 
Watu tunaofaidi boom ni wachache sana sana sana...
Wengine wote naona wana maisha magumu mnooo
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
Huo ni mkopo na utaulipa tu. Wewe unafurahia ongezeko la sh. 2,500/= lakini tupo tunaonufaika na ongezeko la sh. 500,000/= kwa mwezi tangu 2020 ambalo ni mapato, sio mkopo kama wewe, lakini bado HATUTATIKI
 
Huo ni mkopo na utaulipa tu. Wewe unafurahia ongezeko la sh. 2,500/= lakini tupo tunaonufaika na ongezeko la sh. 600,000/= kwa mwezi tangu 2020 ambalo ni mapato, sio mkopo kama wewe, lakini bado HATUTATIKI
Anafurahia kukopeshwa
 
Uchawa
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
 
Udsm coet RB (wali maharage) kubwa 800 kipindi cha boom 7500 sasa hivi 1500 na bado haushibi
 
View attachment 3387741
==
Kama mwaka 2015 Wanufaika wa mikopo ya Elimu ya juu walikuwa 69,250 huku Boom likiwa TZS 7,500 Kwa siku.

Hata hivyo 2020 Waliongezeka wanufaika wapya 63,142 lakini Boom likabaki pale pale 7,500 na 8,000,

Hoya yetu ya kwanini tunatiki Kwa Rais Samia ni kuwa mwaka 2025 Wameongezeka wanufaika wapya 160,402 lakini na Boom pia limeongezeka mpaka TZS 10,000,

# NA HII NDIO MAANA WANAVYUO OCT TUNATIKI✓
Mafanikio haya yanatisha aisee
 
Back
Top Bottom